Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,307
- 25,932
Mkuu,kuna mwanamuziki hana promo? Hao Clouds ndiyo waliomweka juu hata Domondi.Ashukuru sana promo ya clouds na vilevile awe makini nao..
Welldone Saida
HakikaHuyu mama alitakiwa awe levo za kina miriam makeba ivon chaka chaka ila cha ajabu watanzania hua hatuthamini vyakwetu
Ukimuangalia jinsi anavyoimba na uzuri wa sauti yake unaona kipaji halisiHuyu mama alitakiwa awe levo za kina miriam makeba ivon chaka chaka ila cha ajabu watanzania hua hatuthamini vyakwetu
Tatizo siyo watanzania, tatizo kubwa ni MAMENEJA NYOKA wasiokuwa na HURUMA hata CHEMBEHuyu mama alitakiwa awe levo za kina miriam makeba ivon chaka chaka ila cha ajabu watanzania hua hatuthamini vyakwetu
Wala sio cha kubabaisha mama ana sauti yakumtoa cobra pangoni anaimba mpaka vinyweleo vinadisa mzeeUkimuangalia jinsi anavyoimba na uzuri wa sauti yake unaona kipaji halisi
Kwani hao mameneja ni wakongo?Tatizo siyo watanzania, tatizo kubwa ni MAMENEJA NYOKA wasiokuwa na HURUMA hata CHEMBE
Kwasasa,nitajitolea kusimamia kesi ya Saida ya madai.Tatizo siyo watanzania, tatizo kubwa ni MAMENEJA NYOKA wasiokuwa na HURUMA hata CHEMBE
Mhh, watu wana mengi mpaka mmefika mbaaaaliWala sio cha kubabaisha mama ana sauti yakumtoa cobra pangoni anaimba mpaka vinyweleo vinadisa mzee
Anyway, ulivyosema watanzania binafsi nilijua unamaanisha MASHABIKIKwani hao mameneja ni wakongo?
Yeah what if akikosa promo na management nzuri?Mkuu,kuna mwanamuziki hana promo? Hao Clouds ndiyo waliomweka juu hata Domondi.
Unataka kumwibia tu na wewe HAKUNA JIPYA !Kwasasa,nitajitolea kusimamia kesi ya Saida ya madai.
Nimewahi kuiba wapi Mkuu? Ha ha haUnataka kumwibia tu na wewe HAKUNA JIPYA !
AtapoteaYeah what if akikosa promo na management nzuri?