Wengine sisi si wahaya.Wahaya kwenye njia moja
Jana kwenye show walijaa Wahaya tupuWengine sisi si wahaya.
Na wewe ukiwemo... [emoji28][emoji28][emoji28]Jana kwenye show walijaa Wahaya tupu
Utajua utamu wa wizi, labda huibi kwa sasa kwasababu hujaona cha kuibaNimewahi kuiba wapi Mkuu? Ha ha ha
Hapa ndio nyumbani kwakoAshukuru sana promo ya clouds na vilevile awe makini nao..
Welldone Saida
Kweli, cha msingi aongeze juhudi tuAtapotea
Si kweliJana kwenye show walijaa Wahaya tupu
Sure!Huyu mama alitakiwa awe levo za kina miriam makeba ivon chaka chaka ila cha ajabu watanzania hua hatuthamini vyakwetu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapa ndio nyumbani kwako
Naona Diamond amekukaa kinywani mwako utafikiri anakujazaMkuu,kuna mwanamuziki hana promo? Hao Clouds ndiyo waliomweka juu hata Domondi.
Ashukuru sana promo ya clouds na vilevile awe makini nao..
Welldone Saida
ndio..clouds hawachelewi kumgeukaMmmmh
Makini nao tena huku wamemsaidia kurudi.
Dada unawaza kujazwa tu? Poor you. Sasa Domondi ana jipya gani tena?Naona Diamond amekukaa kinywani mwako utafikiri anakujaza