jitombashisho
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 667
- 2,245
Kupitia awamu ya tano ya uongozi wa kisiasa wa Hayati JPM Nchi ilishuhudia madhara madogo sana yaliyoletelezwa na Corona jambo ambalo hata kwa hatari tuliyoitarajia ya kimbuga Jobo huenda nayo isiwe na madhara tarajiwa.
Ikumbukwe kutokea tarehe 21 mwezi huu wa 4 nchi kupitia vyombo vya utabiri wa hali ya hewa Duniani ilitakiwa kujiandaa na janga kubwa la kiasili lililotarajiwa kusababishwa na kimbuga Jobo.
Habari za hakika kabisa kimbuga Jobo mara baada tu ya kuikaribia Nchi pendwa kiboko ya Corona tayari kimekutana na jeshi lijulikanalo 'UPEPO KINZANI' hali inayopelekea kimbuga Jobo apunguzwe kasi kutoka 60 kilomita kwa saa hadi 18 kilomita kwa saa.
Nichukue nafasi hii kuipongeza awamu ya tano kwa juhudi hizo za kukiwezesha kimbuga Jobo kupitia utunzaji wa mazingira kupunguzwa kasi.