Pakawa
JF-Expert Member
- Mar 11, 2009
- 7,973
- 13,647
Hii nchi ina wapumbavu wengiBipolar is real
Mother Nature na Awamu ya tano wapi na wapi
Watu wataangamia kwa kukosa maarifa
Mungu mrehemu mwanzisha upupu huu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii nchi ina wapumbavu wengiBipolar is real
Kiboko ya Corona? Corona imemvuna yule dhalim.Kupitia awamu ya tano ya uongozi wa kisiasa wa Hayati JPM Nchi ilishuhudia madhara madogo sana yaliyoletelezwa na Corona jambo ambalo hata kwa hatari tuliyoitarajia ya kimbuga Jobo huenda nayo isiwe na madhara tarajiwa.
Ikumbukwe kutokea tarehe 21 mwezi huu wa 4 nchi kupitia vyombo vya utabiri wa hali ya hewa Duniani ilitakiwa kujiandaa na janga kubwa la kiasili lililotarajiwa kusababishwa na kimbuga Jobo.
Habari za hakika kabisa kimbuga Jobo mara baada tu ya kuikaribia Nchi pendwa kiboko ya Corona tayari kimekutana na jeshi lijulikanalo 'UPEPO KINZANI' hali inayopelekea kimbuga Jobo apunguzwe kasi kutoka 60 kilomita kwa saa hadi 18 kilomita kwa saa.
Nichukue nafasi hii kuipongeza awamu ya tano kwa juhudi hizo za kukiwezesha kimbuga Jobo kupitia utunzaji wa mazingira kupunguzwa kasi.
Na Muumba aliitumia Corona kutukomeshea yule dhalim.Hakuna lolote la kusifia hapo , sasa hivi tupo na awamu ya sita ndiyo habari ya mujini.
Hayo mengine tupa kuleee
Utakuwa ni hamnazo wewe... Si bureKupitia awamu ya tano ya uongozi wa kisiasa wa Hayati JPM Nchi ilishuhudia madhara madogo sana yaliyoletelezwa na Corona jambo ambalo hata kwa hatari tuliyoitarajia ya kimbuga Jobo huenda nayo isiwe na madhara tarajiwa.
Ikumbukwe kutokea tarehe 21 mwezi huu wa 4 nchi kupitia vyombo vya utabiri wa hali ya hewa Duniani ilitakiwa kujiandaa na janga kubwa la kiasili lililotarajiwa kusababishwa na kimbuga Jobo.
Habari za hakika kabisa kimbuga Jobo mara baada tu ya kuikaribia Nchi pendwa kiboko ya Corona tayari kimekutana na jeshi lijulikanalo 'UPEPO KINZANI' hali inayopelekea kimbuga Jobo apunguzwe kasi kutoka 60 kilomita kwa saa hadi 18 kilomita kwa saa.
Nichukue nafasi hii kuipongeza awamu ya tano kwa juhudi hizo za kukiwezesha kimbuga Jobo kupitia utunzaji wa mazingira kupunguzwa kasi.
Tukutana 2025Nyinyi ndiyo wajane wa jiwe
Wife: How much do you love me?Kupitia awamu ya tano ya uongozi wa kisiasa wa Hayati JPM Nchi ilishuhudia madhara madogo sana yaliyoletelezwa na Corona jambo ambalo hata kwa hatari tuliyoitarajia ya kimbuga Jobo huenda nayo isiwe na madhara tarajiwa.
Ikumbukwe kutokea tarehe 21 mwezi huu wa 4 nchi kupitia vyombo vya utabiri wa hali ya hewa Duniani ilitakiwa kujiandaa na janga kubwa la kiasili lililotarajiwa kusababishwa na kimbuga Jobo.
Habari za hakika kabisa kimbuga Jobo mara baada tu ya kuikaribia Nchi pendwa kiboko ya Corona tayari kimekutana na jeshi lijulikanalo 'UPEPO KINZANI' hali inayopelekea kimbuga Jobo apunguzwe kasi kutoka 60 kilomita kwa saa hadi 18 kilomita kwa saa.
Nichukue nafasi hii kuipongeza awamu ya tano kwa juhudi hizo za kukiwezesha kimbuga Jobo kupitia utunzaji wa mazingira kupunguzwa kasi.
It's a real mental health issueBipolar is real
Kwa wajinga wenzako.Kupitia awamu ya tano ya uongozi wa kisiasa wa Hayati JPM Nchi ilishuhudia madhara madogo sana yaliyoletelezwa na Corona jambo ambalo hata kwa hatari tuliyoitarajia ya kimbuga Jobo huenda nayo isiwe na madhara tarajiwa.
Ikumbukwe kutokea tarehe 21 mwezi huu wa 4 nchi kupitia vyombo vya utabiri wa hali ya hewa Duniani ilitakiwa kujiandaa na janga kubwa la kiasili lililotarajiwa kusababishwa na kimbuga Jobo.
Habari za hakika kabisa kimbuga Jobo mara baada tu ya kuikaribia Nchi pendwa kiboko ya Corona tayari kimekutana na jeshi lijulikanalo 'UPEPO KINZANI' hali inayopelekea kimbuga Jobo apunguzwe kasi kutoka 60 kilomita kwa saa hadi 18 kilomita kwa saa.
Nichukue nafasi hii kuipongeza awamu ya tano kwa juhudi hizo za kukiwezesha kimbuga Jobo kupitia utunzaji wa mazingira kupunguzwa kasi.
Hili jukwaa linasomwa kwote East Africa, nyuzi km hizi zinatuaibisha sana watanzania kwa majirani zetu. wote tunaoneka ni viazi.... MODERATOR mpo wapi kuunganisha huu uzi ukakae katikati huko kwenye nyuzi za Pascal Mayalla ? au kuufuta kabisa & save our integrity.Kupitia awamu ya tano ya uongozi wa kisiasa wa Hayati JPM Nchi ilishuhudia madhara madogo sana yaliyoletelezwa na Corona jambo ambalo hata kwa hatari tuliyoitarajia ya kimbuga Jobo huenda nayo isiwe na madhara tarajiwa.