Asante sana awamu ya 5 kwa juhudi zenu za utunzaji mazingira hali inayopelekea kimbuga Jobo kishindwe

Kiboko ya Corona? Corona imemvuna yule dhalim.
 
Hivi ni Kimbuga au Kimbunga..niliona kwenye kichwa cha uzi nikajua shida ya uchapaji, lakini naona umeendelea tu kutaja Kimbuga..
 
Utakuwa ni hamnazo wewe... Si bure
 
Wife: How much do you love me?
Husband: My heart is a mobile and you are the sim of it.
Wife: OMG! I'm so lucky you love me so much.

She really don't know that her Husband is a dual sim.
 
Kwa wajinga wenzako.
 
Hili jukwaa linasomwa kwote East Africa, nyuzi km hizi zinatuaibisha sana watanzania kwa majirani zetu. wote tunaoneka ni viazi.... MODERATOR mpo wapi kuunganisha huu uzi ukakae katikati huko kwenye nyuzi za Pascal Mayalla ? au kuufuta kabisa & save our integrity.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…