Asante sana Chid Benz kwa kumpa jibu matata Millard Ayo

Asante sana Chid Benz kwa kumpa jibu matata Millard Ayo

Damaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
6,236
Reaction score
10,774
Millard Ayo mara nyingi huibua mijadala ya ajabu sana kwa maswali yake, lakini swali alilomuuliza Chid Benz limezua mjadala mkubwa.



Kumuuliza mtu kama Chid Benz ambaye kapitia matatizo ba shida awe na neno kwa wengine ni kichekesho. Wanaopitia mateso na shida ni nadra kuwaona wanakesha kupitia page za Millard Ayo.

Hata hivyo, Chid Benz alitoa majibu yenye hekima na busara.

JIBU MWANA UKOME 😃 😀 😄
 
1758135364772.jpeg


NB OKTOBA UTAANGALIA CHA KUFANYA
 
Back
Top Bottom