asante sana dr slaa

asante sana dr slaa

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
Kwa kupitia jf kutamka wazi kuwa elimu ya udsm ni ya hovyo kwani tulikuwa tukiwaambia elimu ya pale ni hovyo wanabisha hebu angalia,jk lowassa,mwigulu,jairo, walisoma pale ni muda sasa wtz muake
 
Nafikiri hata ulikosoma wewe kuna majanga. Dr.Slaa hakusema UDSM ni hovyo kama unaelewa kiingereza vyema. Lile neno UNLESS inaonesha linawasumbua sana nyie wa kizazi cha MADESA.

Ligi zenu za UDOM vs UDSM usizitafutie suluhu kwa kauli ya Dr.Slaa ambayo ukihitimu kidato cha pili tu unaweza kuielewa unless unaakili za Mwigulu.
 
Mwigulu alisoma udsm lakini ama nimekosea?
 
Back
Top Bottom