NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Goli alilofunga Mshambuliaji wa timu ya Yanga, Fiston Kalala Mayele kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika limeteuliwa kuwa goli bora la siku katika mchezo huo.
Mayele mpaka sasa ndiye kinara katika mbio za mfungaji bora wa michuano hiyo akiwa tayari ameshaweka mabao saba nyavuni.
Mayele mpaka sasa ndiye kinara katika mbio za mfungaji bora wa michuano hiyo akiwa tayari ameshaweka mabao saba nyavuni.