Asante sana Fistoni Kalala Mayele kwa goli lako bora la siku. Wanayanga hatuna cha kukudai

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Goli alilofunga Mshambuliaji wa timu ya Yanga, Fiston Kalala Mayele kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika limeteuliwa kuwa goli bora la siku katika mchezo huo.

Mayele mpaka sasa ndiye kinara katika mbio za mfungaji bora wa michuano hiyo akiwa tayari ameshaweka mabao saba nyavuni.

 
Kuna chambuzi moja limepimga [emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…