Asante sana IPP Media - ITV, Radio one, Capital radio

Asante sana IPP Media - ITV, Radio one, Capital radio

Hongera sana ITV/Radio One kazi yenu na uzalendo wenu umeonekana.
 
Msema kweli, uwazi na kujali waslahi ya Taifa ni IPP media kwa fuanisi wa kipekee kabisa.

Asante ITV na Redio one.

Ndiyo maana walipata tuzo ya Superbrand wakomae wasiogope vitisho vya mafisadi ambao sasa wameanza kugeuka na kuwa madikteta.
 
Back
Top Bottom