Asante sana Kiranga, hoja zako ziniinua katika mabishano mtaani

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi

Leo mtaan kulikuwa na mada iliyokuwa inahusu neno akili, aisee kilinuka mazee

Kuna jamaa alidai marehemu Ruge alikuwa na akili sana

Ndo mimi nikadakia nikasema bro akili ni nini? Na unamjuaje mtu mwenye akili? Na nan alikwambia kuna kitu kinaitwa akili?

Jamaa akaanza kujikanyaga kanyaga

Nikauteka mjadala nikawambia nyie sikien dunian hakuna kitu kinacho itwa akili maana akili ni kitu cha kutungwa ambacho kilitungwa na kaka zetu wazungu ili kujitofautisha na wengine lakin ukweli ni kwamba hakuna kitu kinachoitwa akili

Kama akili ipo nambie iko wapi na ni kitu gan

Mjadala uliendelea na ulikuwa mkali sana


Kuna wengine wakaniunga mkono wengine wakanipinga lakin walio wengi waliniunga mkono kutokana na nondo nilizokuwa nazishusha lakini nondo zote nilizokuwa nashusha ni copy and pest kutoka kwa kiranga

Asante sana

LONDON BOY
 
Kiranga yupo njema sanaaaa.. Ila mambo ya kujiuliza utamu ni nini au utamu unauhisije, ustaarabu ni nini au unakaa wapi au unautambuaje; naona kama ni kujihangaisha na social constructs ambazo zimewekwa kama kipimo cha jamii flani kutokana na aina ya maisha yao. Hazipo universal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…