Asante Sana @Mama Mdogo Kwa Ushauri na Maoni Kuhusu Avatar Yangu

SHIEKA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
8,240
Reaction score
4,280
Wanajamvi nawasalimieni!
Wataalamu wa saikolojia wanasema kwamba ushauri ukitolewa kwa upendo unafuatwa. Mimi nimeshauriwa kwa upendo na nimefuata ushauri huo. Inahusu avatar yangu: ile ilokuwa ya kuhuzunika na kuogopa. Wadau wengi hawakuipenda ingawa nilitoa sababu zangu.
Mmoja wa wadau ambao hawakuipenda hiyo avatar ni Mama Mdogo. Yeye, pamoja na kutoipenda avatar hiyo, alifanya kazi ya ziada: aligoogle maana ya hygeia na kunipa image zinazowakilisha id yangu.Hiyo image ndo nimei-adopt kuwa avatar yangu mpya! Asante sana Mama Mdogo, na asante wale wote mlio toa dukuduku zenu kuhusu ile avatar ya zamani.

Kwa charminglady namwambia:Sasa bila shaka utasoma thread zangu maana kikwazo kimeondoka!
Thanks all
hygeia
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…