Asante sana Molinga, Tp mazembe sio wajinga kumsajili Ulimwengu japo kwa Tz hajui mpira tunamponda

Asante sana Molinga, Tp mazembe sio wajinga kumsajili Ulimwengu japo kwa Tz hajui mpira tunamponda

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
9,137
Reaction score
34,793
Kama mwanayanga nasema asante sana molinga

TP Mazembe ni timu kubwa sana.. katika kikosi chake cha mwaka 2020 kuna mchezaji kama molinga.. mtanzania.. ana mwili mkubwa na watanzania tunamsema sana kwamba ulimwengu ni mzito , nyama uzembe na hajui mpira.

Cha kushangaza huyo huyo ulimwengu asiejua mpira...anasajiliwa na timu za maana tu.. sijui hao ma scout wajinga

Sasa kwa leo nilichokiona kwa mwili uzembe molinga...nimeelewa kwamba kwa nini Thomas ulimwengu anapendwa nje ya Tanzania huku wa tz tunamuona hajui soka..
 
Soma tena kisha u google cv ya thomas ulimwengu kisha. Muulize mshabiki wa mpira yeyote tz. Je ulimwengu anafaa au hafai.. nina uhakika atakujibu hafai
sijawahi kumkubali Ulimwengu, tangu akiwa kinda tena 6packs , ukiniuliza kwa nini sijui………….
 
sijawahi kumkubali Ulimwengu, tangu akiwa kinda tena 6packs , ukiniuliza kwa nini sijui………….

sio wewe tu wa Tanzania wengi sana hawamkubali ulimwengu.. cha kushangaza sasa, anasajiliwa na timu za maana tu ambazo hata kina kichuya, boko, lunyamila hawajawai hata kuitwa na hizo timu kufanyiwa majaribio..

je ma scout na makocha wa hizo timu kubwa zinazomsajili ulimwengu ni wajinga ? ama sisi mashabiki tunaomuona hajui mpira ndio wajinga

ndio maana nikaweka mfano wa ulimwengu kwa case ya molinga
 
Zaidi ya TP Mazembe, tim gani nyingine kubwa aliko dumu kwa angalau misimu 3
 
Zaidi ya TP Mazembe, tim gani nyingine kubwa aliko dumu kwa angalau misimu 3

haijalishi misimu mingapi.. ni mchezaji gani Tanzania anamzidi Ulimwengu Cv zaidi ya samatta

mtu ukiajiriwa BOT, kisha ukahamia TRA, kisha TPDC, kisha TPA, kisha EWURA, hata kama hayo mashirika umekaa muda mfupi lazima una kitu cha ziada.. haiwezekani wenzako hata interview hawaitwi ila wewe unaitwa na kazi unapata..

Ulimwengu ameajiriwa na timu kubwa tupu barani africa, je hao waajiri ni wajinga? mbona kina Yondani, zimbwe, kaseja hawajawai hata kusajiliwa hata kwa mkataba wa mwezi mmoja na hizo timu kubwa
 
Kocha au shabiki watamuona mchezaji fulani hafai sababu ya kukosa muendelezo wa ubora si sababu ya miili yao. Molinga hafai sababu hana muendelezo wa ubora, kwenye mechi 20 nne ndio atacheza vizuri kwa hiyo hastahili kuchezea timu kubwa yenye malengo makubwa.
 
Mkwasa na msolla wanastahili kukaa timu kubwa yenye malengo makubwa?
 
Mkwasa na msolla wanastahili kukaa timu kubwa yenye malengo makubwa?
Kwa jinsi timu ilivyo wote hawastahili. Mkwasa anapimwa kwa matokeo ya timu kitu ambacho timu haina matokeo ya kuridhisha chini yake mkwasa au akiwa msaidizi.
Msolla pia hastahili maana ameshindwa kuindesha klabu angalau nusu tu ya ukisasa. Klabu imesajili zaidi ya wachezaji 22 ndani ya msimu mmoja na zaidi ya nusu wameshaachwa kabla hata ya kumaliza msimu mmoja, kitu hiki hakiwezi kutokea chini ya uongozi imara.
 
Back
Top Bottom