Najaribu kukuelewa ila hapana ngoja nirudie tena kusoma
Falcao
Shida ya Molinga anaharibu mechi 10 anapatia moja! Ila angalau yeye kuliko yule nduguye Drogba a.k.a Yikpe
WACHA WANONA
🤣 🤣 🤣 🤣Najaribu kukuelewa ila hapana ngoja nirudie tena kusoma
sijawahi kumkubali Ulimwengu, tangu akiwa kinda tena 6packs , ukiniuliza kwa nini sijui………….Soma tena kisha u google cv ya thomas ulimwengu kisha. Muulize mshabiki wa mpira yeyote tz. Je ulimwengu anafaa au hafai.. nina uhakika atakujibu hafai
sijawahi kumkubali Ulimwengu, tangu akiwa kinda tena 6packs , ukiniuliza kwa nini sijui………….
Zaidi ya TP Mazembe, tim gani nyingine kubwa aliko dumu kwa angalau misimu 3sio wewe tu wa Tanzania wengi sana hawamkubali ulimwengu.. cha kushangaza sasa, anasajiliwa na timu za maana tu ambazo hata kina kichuya, boko, lunyamila hawajawai hata kuitwa na hizo timu kufanyiwa majaribio..
je ma scout na makocha wa hizo timu kubwa zinazomsajili ulimwengu ni wajinga ? ama sisi mashabiki tunaomuona hajui mpira ndio wajinga
ndio maana nikaweka mfano wa ulimwengu kwa case ya molinga
Zaidi ya TP Mazembe, tim gani nyingine kubwa aliko dumu kwa angalau misimu 3
Kocha au shabiki watamuona mchezaji fulani hafai sababu ya kukosa muendelezo wa ubora si sababu ya miili yao. Molinga hafai sababu hana muendelezo wa ubora, kwenye mechi 20 nne ndio atacheza vizuri kwa hiyo hastahili kuchezea timu kubwa yenye malengo makubwa.
Kwa jinsi timu ilivyo wote hawastahili. Mkwasa anapimwa kwa matokeo ya timu kitu ambacho timu haina matokeo ya kuridhisha chini yake mkwasa au akiwa msaidizi.Mkwasa na msolla wanastahili kukaa timu kubwa yenye malengo makubwa?
Me toosijawahi kumkubali Ulimwengu, tangu akiwa kinda tena 6packs , ukiniuliza kwa nini sijui………….