Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Kuna Moja akitaka kuwa Lahisi kwa kuchaguliwa wakati alijua Hana uwezo na mwingine alikuwa na agenda zake Binafsi za kujimilikisha maki za Taifa kadiri inavyowezekanaYote haya ni sababu ya ubishi wa akina Kikwete na Samuya, hivi sababu za msingi za kugoma kufanya reforms ni zipi?
Mzee Warioba ameongea mengi ambayo sasa yamenukuliwa mitandaoni
Aliyoongea CCM ya sasa haina ubavu wa kuyaongea kwa vile sasa CCM si chama cha wananchi, bali viongozi ambao hawafai kuitwa viongozi.
Dondoo muhimu
Kwa mazingira haya yote, mimi Jidu nadiriki kusema tuna serikali in total disarray, ambayo hata kesho haina utashi wa kuelewa itakuwaje.
- Serikali inahusika na mauaji
- Waliouwawa ni wengi hata kuliko waliouwawa vita ya Kagera
- Vyombo vya ulinzi na usalama vimeingizwa uchawa wa kisiasa
- Polisi ndio wasemaji wakuu wa serikal, badala ya utashi wa kisiasa
- Kuna mgawayiko mkubwa katika vyombo vya dola hasa vya ulinzi na usalama, kila kiongozi wa vyombo hivyo analinda maslahi yake badala ya Taifa
- Watu wanatekwa kwa kusema ukweli, jambo la hovyo kabisa
- Umoja wa kitaifa umo hatarini katika mazingira yaliyopo
- Uchaguzi ulikuwa na kasoro ambazo hata mjinga anaweza kusema si kwa maslahi ya Taifa.
CCM haijatoa tamkonlolote juu ya sintofahamu iliyopo,
Kikwete yuko kimya utafikiri hayupo
Asante Mzee Warioba kwa kuita a spade, a spade.
Only statesman aliyebaki mwenye akili na aliyeamua kuongea ukweli, nchi ipo mikononi kwa wahuni na majambazi yakiongozwa na Samia
Yanayoendelea yanathibitisha hilo.Only statesman aliyebaki mwenye akili na aliyeamua kuongea ukweli, nchi ipo mikononi kwa wahuni na majambazi yakiongozwa na Samia
Mzee Warioba ameongea mengi ambayo sasa yamenukuliwa mitandaoni
Aliyoongea CCM ya sasa haina ubavu wa kuyaongea kwa vile sasa CCM si chama cha wananchi, bali viongozi ambao hawafai kuitwa viongozi.
Dondoo muhimu
Kwa mazingira haya yote, mimi Jidu nadiriki kusema tuna serikali in total disarray, ambayo hata kesho haina utashi wa kuelewa itakuwaje.
- Serikali inahusika na mauaji
- Waliouwawa ni wengi hata kuliko waliouwawa vita ya Kagera
- Vyombo vya ulinzi na usalama vimeingizwa uchawa wa kisiasa
- Polisi ndio wasemaji wakuu wa serikal, badala ya utashi wa kisiasa
- Kuna mgawayiko mkubwa katika vyombo vya dola hasa vya ulinzi na usalama, kila kiongozi wa vyombo hivyo analinda maslahi yake badala ya Taifa
- Watu wanatekwa kwa kusema ukweli, jambo la hovyo kabisa
- Umoja wa kitaifa umo hatarini katika mazingira yaliyopo
- Uchaguzi ulikuwa na kasoro ambazo hata mjinga anaweza kusema si kwa maslahi ya Taifa.
CCM haijatoa tamkonlolote juu ya sintofahamu iliyopo,
Kikwete yuko kimya utafikiri hayupo
Asante Mzee Warioba kwa kuita a spade, a spade.
Labda niseme hivi:Mzee Warioba ameongea mengi ambayo sasa yamenukuliwa mitandaoni

Hofu ya kupoteza madarakaYote haya ni sababu ya ubishi wa akina Kikwete na Samuya, hivi sababu za msingi za kugoma kufanya reforms ni zipi?
Tuzidi kuomba, maana KARMA imeanza kufanya kazi yake.Hauwezi kuua watu "wako" kwa wingi ule alafu ujidai hakuna kilichotokea!
Mungu yupo,tusipoongea,mawe yatapiga kelele!
Mafufu atatoka kumjibu kwaniaba ya ccmMaajabu watu wanajitokeza kumjibu sasa!
Kulinda ufisadi.Yote haya ni sababu ya ubishi wa akina Kikwete na Samuya, hivi sababu za msingi za kugoma kufanya reforms ni zipi?