Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
- Thread starter
-
- #21
Kwa 100% historia haiwezi msamehe Kikwete, muasisi wa Mtandao na kundi ndani ya CCM lenye lengo la kulinda maslahi binafsi, si wananchi.Yote haya ni sababu ya ubishi wa akina Kikwete na Samuya, hivi sababu za msingi za kugoma kufanya reforms ni zipi?
Fuatilia kwa karibu, wanaopinga ujumbe wa Mzee Warioba hapa mtandaoni ni wale wale waliopewa bunduki kuua raia wasio na silaha.Maajabu watu wanajitokeza kumjibu sasa!
Serikali haramutuna serikali in total disarray
Mzee Warioba ameongea mengi ambayo sasa yamenukuliwa mitandaoni
Aliyoongea CCM ya sasa haina ubavu wa kuyaongea kwa vile sasa CCM si chama cha wananchi, bali viongozi ambao hawafai kuitwa viongozi.
Dondoo muhimu
Kwa mazingira haya yote, mimi Jidu nadiriki kusema tuna serikali in total disarray, ambayo hata kesho haina utashi wa kuelewa itakuwaje.
- Serikali inahusika na mauaji
- Waliouwawa ni wengi hata kuliko waliouwawa vita ya Kagera
- Vyombo vya ulinzi na usalama vimeingizwa uchawa wa kisiasa
- Polisi ndio wasemaji wakuu wa serikal, badala ya utashi wa kisiasa (CCM iko silent mode)
- Kuna mgawayiko mkubwa katika vyombo vya dola hasa vya ulinzi na usalama, kila kiongozi wa vyombo hivyo analinda maslahi yake badala ya Taifa
- Watu wanatekwa kwa kusema ukweli, jambo la hovyo kabisa(H. Polepole)
- Upinzani sasa hivi ni uhaini
- Umoja wa kitaifa umo hatarini katika mazingira yaliyopo
- Uchaguzi ulikuwa na kasoro ambazo hata mjinga anaweza kusema si kwa maslahi ya Taifa.
CCM haijatoa tamko lolote juu ya sintofahamu iliyopo,
Kikwete yuko kimya utafikiri hayupo
Asante Mzee Warioba kwa kuita a spade, a spade.
Hata kama reforms zingebana masilahi yao ni bora wangefanya kipindi kile maana changamoto ilikua ni ufisadi walioufanya tu, sasa wamejiongeza tatizo, safari hii wana hatia ya mauji piaYote haya ni sababu ya ubishi wa akina Kikwete na Samuya, hivi sababu za msingi za kugoma kufanya reforms ni zipi?
Hatia ya mauaji haiishi hata ukistaafu,Hata kama reforms zingebana masilahi yao ni bora wangefanya kipindi kile maana changamoto ilikua ni ufisadi walioufanya tu, sasa wamejiongeza tatizo, safari hii wana hatia ya mauji pia
Hakika.Hatia ya mauaji haiishi hata ukistaafu,
Pinochet wa Chile alishtakiwa uzeeni baada ya kustaafu.
Sasa hivi CCM si chama cha wananchi tena, ni genge la mtandao.Mzee Warioba ameongea mengi ambayo sasa yamenukuliwa mitandaoni