Asante sana Rais Samia kwa kuliponya Taifa. Umeonesha kwa kauli na matendo; tunajenga nyumba moja, hakuna sababu ya kugombea fito!

Wanabodi,
Hii ni Nipashe ya wiki iliyopita
Wanabodi,
Hatimaye kesi ya Mbowe imefutwa!.

Wasalaam

Paskali
Kuhusu 4Rs za Samia, huku bara zimefanya nini?
Mkuu Kiranga ,Mnyonge myongeni,haki yake mpeni!,Rais Samia kupitia 4R zake, ameliponya sana tuu taifa hili!,kama ni kupewa maua yake,apewe tuu!。Kufutwa kwa kesi ya Mbowe ni matokeo ya 4R ya Samia!
Mbona maridhiano na CHADEMA yamekufa tayari?
Akipita Mbowe uenyekiti Chadema,maridhiano yanafufuka,2025 ni mwendo wa kugawana nusu mkate!, akipita Lissu uenyekiti wa Chadema, CCM watatekeleza hoja HII
P
 
This logical fallacy is called argument from tradition.

It also has elements of another logical fallacy, argument from authority.

Heshima kitu cha bure ndiyo maana namtaka Samia aheshimu dignity of human life asiseme "kifo ni kifo tu" na kuachia watu wanauawa na jutekwa bila kumaliza tatizo hili.

Sasa unaniona mimi niliyesema tu nimekosa heshima kuliko huyo Samia ambaye ineptitude yake imepelekea watu kufa?

Kama kuna aliyekosa heshima hapa nani?

Mimi au Samia?
 
Pascal Mayalla kaka heri ya mwaka mpya kama ni mara ya kwanza au yapili kucomment kwenye hii mada .

Hakuna mtu duniani anaweza kukuponya bali ni YESU pekee so usijidanganye . Rais anasaidia baadhi ya vitu ila hajatatua vyote
 
Heshima kitu cha bure
Mkuu Kiranga , kitu cha bure ni unconditional, ukikutana na mtu amekuzidi
umri, utamwamkia kwa heshima hata kama mtu huyo ni jambazi au muuaji!.

Asubuhi utasalimu Wazazi
hata kama jana
yake walikurudi!.
ndiyo maana namtaka Samia aheshimu dignity if human life asiseme "kifo ni kifo tu"
Hapa naungana na wewe, alikosa heshima, ila kukosa huku heshima is not a conditionality asiheshiniwe!.
na kuachia watu wanauawa na jutekwa bila kumaliza tatizo hili.
Hapa naungana na wewe, tena kwenye hili, akina sisi tumesaidia angalau kufundisha, Kama Walioua ni "Wasiojulikana" Then Karma, Albadir Itawahusu, ila kama ni 'Wasiojulikana', Hata Albadir Haisaidii Kitu, Wametimiza Tuu Wajibu Wao!
Sasa unaniona mimi niliyesema tu nimekosa heshima kuliko huyo Samia ambaye ineptitude yake imepelekea watu kufa?
Hiyo ineptitude yake tumempatia somo Wanasheria Waelimisheni Viongozi Wetu Kitu Kinachoitwa "Vicarious Liability", Hata Kama Wewe Hujaua, Kama Muuaji ni Mtu Wako, Then Unawajibika Wewe
Kama kuna aliyekosa heshima hapa nani? Mimi au Samia?
Heshima inaanza kutoka kwa mdogo kwenda kwa mkubwa kisha inatoka kwa mkubwa kurudi kwa mdogo!

P
 
Samia anafanya abracadabra, hafanyi maridhiano.

Huelewi wapi?
 
Vipi bado hatugombei fito????
 
Advocate, unauliza swali huku majibu unayajua!!!!
Advocate wewe ni "Senior " kuna maswali hutakiwi kuuliza as if ni mgeni na hii nchi.
Basi nitakuwa labda ninazeeka, baada ya kuingia Suluhu, naona kama kila kitu ni Suluhu tupu na hakuna kugawana fito!.
P
 
HBD Rais Samia!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…