Asante sana Rais Samia kwa mabadiliko haya madogo ya uongozi katika Serikali Kuu, watanzania wote wamekupenda zaidi, wanakushukuru na kukuamini zaidi

Tumeongea sana hapa kwamba Nape hana AKILI na January makamba hana AKILI CCM ina watu wengi wenye Akili zao za kuzaliwa na kusoma pia.Tulishangaa sana kwa nn hawa wajinga wawili wapo kwenye baraza la mawaziri.Tunahitaji viongozi wa juu wa nchi wawe serious namna hii.Lkn bado kuna mambo mengi ya kufanya.
 
ningejua upo wapi ....naweza kuja straight on your face na nikwambie mshenzi wewe
Tlaatlaah
kuna mwenzako mwenye tatizo la Afya ya akili kama wewe huku jimboni aliwahi kuleta za kuleta pamoja na tatizo lake lakini nilimshikisha adabu naona sasa hivi anaendelea vuzuri,

kumbe dawa yenu ni makwenzi na makofi tu akili zinawakaa sawaa 🀣

Γ±joo jimboni tu,
tena wewe tatizo lako lilivyokubwa hivyo nakukabidhi kwa wananchi tu ili upone haraka
 
Let me confirm to you without fear of contradictions,

Nape Nauye anazo akili, na January Makamba pia ana akili na wanasiasa makini na wenye maono ya mbali...

political upsidedown na mistakes katika siasa ni Jambo la kawada sana, na hilo halipaswi kua hitimisho la eti fulani hana akili....

Labda kuwe na chuki binafsi ndani yake πŸ’

umesoma vizur My life My Purpose ya Hayati Benjamin Mkapa?πŸ’
 
Uchawa ni kazi kwa kweli, inabid usiwe na aibu wala kumbukumbu.

Akiteua unasidia akitenfua unasifia akihamiasha unasifia pia.

Haya tusubiri asamehe ujiandae kusifia.
unababaika na jealous to moyoni 🀣

Kwan malaika wale ndio wasiteuliwe au wasitenguliwe?
siasa ni taaluma, politics is all about interests πŸ’
 
Upuuzi tu. Na uchawa tu. mtu ayefanya kazi na kula kwa akili yake hawezi kuandika huu ujinga
 
relax bas gentleman,

punguza mihememko punguza makasiriko kidogo, inauma sana.
hayupo mTanzania yeyote anaefurahia ufisadi au uonevu na uporaji wa mali za umma na haki za wanyonge πŸ’

kushughulika na mambo haya kwa hisia, hasira na ghadabu matokeo yake utaharibu nchi na kupata fedhaha mbeleni πŸ’

jimboni kwangu siwezi kuruhusu ufisadi au ubadhirifu wa aina yoyote kutokea.

Shukrani za kipekee ni kwa Rais Dr Samia Suluhu Hassan kwa namna anavyochukua hatua kukabiliana na ufisadi lakini zaidi sana kushughulika na mambo mengine muhimu ya Maendeleo kwa waTanzania πŸ’
 
Kuna wakati, hata ukaandika jambo, lakini ndani yake ukaweka upuuzi au uwongo, mada nzima itaonekana ya uwongo au ya kipuuzi.

Huwezi kusema "watanzania wote" wamefurahia, lazima wewe utamuwa mtu mwongo au mtu asiye na umakini wowote.

Rais Samia mwenyewe, hata anapowatengua wateule wake anajua kabisa wapo watakaochukizwa, halafu wewe unasema eti watanzania wote wamefirahia!!
 
Upuuzi tu. Na uchawa tu. mtu ayefanya kazi na kula kwa akili yake hawezi kuandika huu ujinga
actually,
wenye matatizo ya afya ya akili ndio pekee hukumbwa na mihemko, ghadhabu, hasira na hubababika na nini cha kukoment wanapokutana na hoja nzito na ya maana kama iliyoko mezani πŸ’

hata hivyo tupo pamoja haka kama uko hivyo ulivyo, wewe ni mTanzania mwenzetu πŸ’
 
ebu tuliza ball kidogo kwanza gentleman πŸ’


umefurahia? au hujafurahia mabadiliko aloyafanya Rais Serikali kuu ?πŸ’
 
Nakubalina na wewe ili mradi asiwarudishe kwenye uongozi wa chama chetu cha ccm,wananchi hatuna imani nao wayatuchafulia uchaguzi hawaaminiki
 
Nakubalina na wewe ili mradi asiwarudishe kwenye uongozi wa chama chetu cha ccm,wananchi hatuna imani nao wayatuchafulia uchaguzi hawaaminiki
actually kwenye kujisahihisha na kujirkebisha yayote anaweza kua bora zaidi uongozini mbeleni πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…