Barbarosa JF-Expert Member Joined Apr 16, 2015 Posts 22,584 Reaction score 27,817 Oct 3, 2020 #1 Hapa tukipanda treni yetu kuelekea Arusha City, ...
Bia yetu JF-Expert Member Joined Apr 14, 2020 Posts 6,921 Reaction score 8,321 Oct 3, 2020 #2 Asante Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania
Zemanga zoze JF-Expert Member Joined Jan 11, 2017 Posts 1,016 Reaction score 1,722 Oct 3, 2020 #3 Akhsante kwa lipi si wajibu wake si tunalipa kodi au?? Kweli abunuasi
msanawa Senior Member Joined Nov 27, 2014 Posts 161 Reaction score 177 Oct 3, 2020 #4 abuu bin umar seydun said: Akhsante kwa lipi si wajibu wake si tunalipa kodi au?? Kweli abunuasi Click to expand... Neno asante lina maana njema, hakuna ubaya katika kushukuru, angalia ujuaji wako usijekufanya abunuasi mwenyewe.. Kodi zimeanza kulipwa awamu hii tu eeh!??
abuu bin umar seydun said: Akhsante kwa lipi si wajibu wake si tunalipa kodi au?? Kweli abunuasi Click to expand... Neno asante lina maana njema, hakuna ubaya katika kushukuru, angalia ujuaji wako usijekufanya abunuasi mwenyewe.. Kodi zimeanza kulipwa awamu hii tu eeh!??