Asante sana Raisi Magufuli, Dar-Arusha City!

Asante sana Raisi Magufuli, Dar-Arusha City!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,817
Hapa tukipanda treni yetu kuelekea Arusha City, ...

1601708192216.png
 
Asante Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania
 
Akhsante kwa lipi si wajibu wake si tunalipa kodi au?? Kweli abunuasi
 
Akhsante kwa lipi si wajibu wake si tunalipa kodi au?? Kweli abunuasi
Neno asante lina maana njema, hakuna ubaya katika kushukuru, angalia ujuaji wako usijekufanya abunuasi mwenyewe.. Kodi zimeanza kulipwa awamu hii tu eeh!??
 
Back
Top Bottom