Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Niko Wizarani nafuatilia kuhusu ukweli wa transformation ya Simba umekomea wap zaidi ya mwaka wa tatu sasa, nakutakana na Thank you ya Saido Ntibanzokiza.
Kwangu anabakia kuwa Shujaa ndani ya Simba, ni mchezaji ambaye ametoa mchango mkubwa sana ndani ya klabu yetu kuliko mchezaji yoyote yule, takwimu zake za upachikaji mabao zinajieleza.
Ameachwa Simba kwa sababu ya pressure tu ya viongozi kutoka kwa mashabiki wenye uelewa mdogo na soka.
Wanasema Saido umri umekuwa kikwazo, wakati Madaraka Seleman mzee wa kiminyio amestaafu soka na miaka 40 na alikuwa na uwezo mkubwa t.
Jana kwenye kombe la ulaya France ikicheza na Austria, tumemuona Ngolo Kante ambaye umri umeenda akikiwasha sawasawa bila kujali umri.
Kocha wa France akamchezesha striker Giroud ambaye umri umemtupa lakini ameenda naye akiamini ana mchango.
Sisi huku tunamuona Saido ni mchovu lkn ameitumikia Simba kwa nguvu zote na hajawahi kuchoka.
Endelee kutafuta mapato Simba App lakini Jobe, Freddy Michael lazima wapewe Thank you