uchumi2018
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 1,657
- 2,406
Lakini nisamehe bure,maana nimeanza kuhojiana nawe kabla ya kukuuliza aina ya magari unayoyamiliki.Ndio nyie hua mna amini kua matajiri hua wana Joka kubwa chumbani ambalo ndio hua linawapa hela! Tafuta Hela
Kajifundishe kuandika kwanza kisha njoo tena! Ningekwambia nipo Kijijini nimepigika wala usinge hoji coz ndio habari mnazopenda kuzisikia toka kwa watu ili mpate faraja.Lakini nisamehe bure,maana nimeanza kuhojiana nawe kabla ya kukuuliza aina ya magari unayoyamiliki.
isije ikawa ni aina ya swala,avoni na Raja afu unayapark sebureni.
Huna akili wewe,upumbavu ndio umekutawala kichwani mwako,nani amejisifia utajiri? Umasikini wako ndio unaokufanya kuona kua kumiliki Gari ni utajiri!Waombe wasimamizi wa jf wakufanye verified user,tukutembelee tujionee maajabu ya utajiri wako.
hizi fake IDs zinaleta kiburi kwa wengi wetu lakini uhalisia wa maisha tunayoishi tunayajua wenyewe.
Ungesema ahsante Passo.
Toyota Fortuner kwa hiyo 10k yako ingekuwa ya kujua tatizo kwanza sio ya kumaliza tatizo
nilikuwa nayo ndani mkuu,kama nusu lita.Kwa hiyo mtoa maada, mmebadili seal bila kuongeza Oil ya diff? Kwa 10k tu?
Haya sisi tuko hapa, Na pia tutakuwepo hapa Diff likianza kuvuma.
mkuu usiendeleze ligi,maoni ya humu siyo uadui,ni kuchangamsha forum na ku share idea mbalimbali,hata wewe ulivyochangia mada hukuwa siriasi kivile,ila naona watu wame ku attack hatari,usiwajibu ligi iishe mkuu...Huna akili wewe,upumbavu ndio umekutawala kichwani mwako,nani amejisifia utajiri? Umasikini wako ndio unaokufanya kuona kua kumiliki Gari ni utajiri!
Mimi hua nampokea mtu kama anavyokuja,hua naondoka na kijiji kizima ikibidi,mkuu usiendeleze ligi,maoni ya humu siyo uadui,ni kuchangamsha forum na ku share idea mbalimbali,hata wewe ulivyochangia mada hukuwa siriasi kivile,ila naona watu wame ku attack hatari,usiwajibu ligi iishe mkuu...
Sindano imegonga mfupa [emoji23][emoji23]Mimi magari ninayo na sio moja tu pia sio kwa kulazimisha,
Naona kisu kimekuchoma kunako ndio maana ukatoka shimoni.
Paragraph ya pili imenifanya nikudharauNdio umeandika nini wewe hamnazo? Gari unaona ni kitu kikubwa sana mpaka chakutokuamini?
Wewe unajua mimi naishi wapi mpaka mtu akitaja spare ya elfu 5 nijue ni gari gani?
Acha kukariri maisha,jf ni international forums.
[emoji23][emoji23][emoji706] eti uume mkubwa, kiongozi umezingua[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kapuku ni mimi tu humu jamiiforums.
Humu kila mtu taita, kila mtu ana degree, kila mtu ana pisi kali, na kila mtu ana uume mkubwa.
Kamdharau mumeo ndio itakua na maana kuliko kumdharau mtu usiyemjua na wala hapati impact yeyote kwa dharau yako ya kupuuzi.Paragraph ya pili imenifanya nikudharau
Muambie aache mambo ya kishambaSio wote wanaonunua magari wako vizuri au wana uwezo sana, kuna sababu tu mbalimbali zinafanya mtu ulazimike kuwa na gari.
Mbona fresh tu,nadhani mtoa mada alikuwa na lengo la kusifia urahisi wa kumiliki gari ya toyota,hata ikitokea mambo yamekuwa magumu unaweza kutatua tatizo la kiufundi kwa hela kidogo.
Tuache kujikweza bila sababu za msingi wakuu.una magari mengi .... si vibaya safi sana....
Wana mambo ya kishamba, na tuhela twake haramu.Jamii forums kila mtu tajiri na kila mtu mjuaji. Mtoa mada kaelezea vizuri suala lake na vile amejisikia baada ya kutatua tatizo. Watu mnaleta kebehi na majuvuno kwenye uzi wake. Ni bora muanzishe wenu wa kujikweza!
Mkiumwa mnatembeza bakuli, tutakuwa tunawaacha tu mfe.Kwa umasikini wako unaona ni tambo ila ungekua vizuri ungeona ni jambo la kawaida,
Nyie ndio mtu akileta thd hapa kua kapigika na maisha hua wazuri wa kufariji,mara komaa mkuu utatoka tu,
Ila mtu akiongelea kidogo tu kua yupo vizuri kwa mtazamo wake mnaanza ngonjera zenu,mnapenda sana kusikia habari za watu wanadhiki japo mpate kujifariji kua kumbe kuna watu nao wanateseka! Badili hiyo fixed mind mentality ili upate kwenda mbele japo kidogo,
Halafu hiyo comment yangu nimemjibu kapuku mwenzako kutokana na swali lake alivyouliza.
Upo sahihi kaka. Nakuunga mkono, sorry sikukuelewa at first.Gari ni chombo cha usafiri tu wala sio dalili ya utajiri,mimi nimemaanisha kua mtu kama hujajipanga kumiliki gari unaweza kuona ni kama mateso au gari likakufilisi hata kidogo ulichonacho.
Endelea tu kukariri huenda hiyo ndio faraja yako.Mkiumwa mnatembeza bakuli, tutakuwa tunawaacha tu mfe.
Chombo ya heshima hiyo boss.Mkuu umenibariki sana kwa kutaja Fortuner [emoji4]