Asante sana Toyota Cars

Asante sana Toyota Cars

Lakini nisamehe bure,maana nimeanza kuhojiana nawe kabla ya kukuuliza aina ya magari unayoyamiliki.
isije ikawa ni aina ya swala,avoni na Raja afu unayapark sebureni.
Kajifundishe kuandika kwanza kisha njoo tena! Ningekwambia nipo Kijijini nimepigika wala usinge hoji coz ndio habari mnazopenda kuzisikia toka kwa watu ili mpate faraja.
 
Waombe wasimamizi wa jf wakufanye verified user,tukutembelee tujionee maajabu ya utajiri wako.
hizi fake IDs zinaleta kiburi kwa wengi wetu lakini uhalisia wa maisha tunayoishi tunayajua wenyewe.
Huna akili wewe,upumbavu ndio umekutawala kichwani mwako,nani amejisifia utajiri? Umasikini wako ndio unaokufanya kuona kua kumiliki Gari ni utajiri!
 
Huna akili wewe,upumbavu ndio umekutawala kichwani mwako,nani amejisifia utajiri? Umasikini wako ndio unaokufanya kuona kua kumiliki Gari ni utajiri!
mkuu usiendeleze ligi,maoni ya humu siyo uadui,ni kuchangamsha forum na ku share idea mbalimbali,hata wewe ulivyochangia mada hukuwa siriasi kivile,ila naona watu wame ku attack hatari,usiwajibu ligi iishe mkuu...
 
mkuu usiendeleze ligi,maoni ya humu siyo uadui,ni kuchangamsha forum na ku share idea mbalimbali,hata wewe ulivyochangia mada hukuwa siriasi kivile,ila naona watu wame ku attack hatari,usiwajibu ligi iishe mkuu...
Mimi hua nampokea mtu kama anavyokuja,hua naondoka na kijiji kizima ikibidi,

Hao wapuuzi waache waje tu,wana fikra za kimasikini sana,wanatamani kusikia habari za watu wanaoteseka na maisha tu.
 
Ndio umeandika nini wewe hamnazo? Gari unaona ni kitu kikubwa sana mpaka chakutokuamini?

Wewe unajua mimi naishi wapi mpaka mtu akitaja spare ya elfu 5 nijue ni gari gani?

Acha kukariri maisha,jf ni international forums.
Paragraph ya pili imenifanya nikudharau
 
Sio wote wanaonunua magari wako vizuri au wana uwezo sana, kuna sababu tu mbalimbali zinafanya mtu ulazimike kuwa na gari.

Mbona fresh tu,nadhani mtoa mada alikuwa na lengo la kusifia urahisi wa kumiliki gari ya toyota,hata ikitokea mambo yamekuwa magumu unaweza kutatua tatizo la kiufundi kwa hela kidogo.

Tuache kujikweza bila sababu za msingi wakuu.una magari mengi .... si vibaya safi sana....
Muambie aache mambo ya kishamba
 
Jamii forums kila mtu tajiri na kila mtu mjuaji. Mtoa mada kaelezea vizuri suala lake na vile amejisikia baada ya kutatua tatizo. Watu mnaleta kebehi na majuvuno kwenye uzi wake. Ni bora muanzishe wenu wa kujikweza!
Wana mambo ya kishamba, na tuhela twake haramu.
 
Kwa umasikini wako unaona ni tambo ila ungekua vizuri ungeona ni jambo la kawaida,

Nyie ndio mtu akileta thd hapa kua kapigika na maisha hua wazuri wa kufariji,mara komaa mkuu utatoka tu,

Ila mtu akiongelea kidogo tu kua yupo vizuri kwa mtazamo wake mnaanza ngonjera zenu,mnapenda sana kusikia habari za watu wanadhiki japo mpate kujifariji kua kumbe kuna watu nao wanateseka! Badili hiyo fixed mind mentality ili upate kwenda mbele japo kidogo,

Halafu hiyo comment yangu nimemjibu kapuku mwenzako kutokana na swali lake alivyouliza.
Mkiumwa mnatembeza bakuli, tutakuwa tunawaacha tu mfe.
 
Inafurahisha sana...

Unaweza ukaulizia water pump ya gari ya toyota ukaambiwa elfu30... hahahaha
Ulizia ya gari ya mjerumani sasa...
 
Back
Top Bottom