Asante sana Toyota Cars

Mimi magari ninayo na sio moja tu pia sio kwa kulazimisha,

Naona kisu kimekuchoma kunako ndio maana ukatoka shimoni.
jf bana kila mtu ana gari tena kali ,kila mtu anamjengo nyumba kali hahahahaaaaaala ukifuatilia uhalisia utakuta kumbe ni fala mmoja hivi kajificha mvua kwenye nyumba ya shemeji aliye oa dada yake hahahaaaaa.
 
Mkuu kwanza nakupa hongera Kwa kuwa miongoni mwa watu wanaotembea huku wamekaa.
Achana na hawa washamba wanaojivunia Mali za urithi na magari ya kuazima.
Hata Mimi Niko mbioni kuvuta ka IST kangu pure from Japan nitembelee matako na kuweka foleni.
Hivi kuna tatizo gani mtu akipewa urithi? Maana watu mnakandiaga sana mali za urithi hua zina shida gani?
 
jf bana kila mtu ana gari tena kali ,kila mtu anamjengo nyumba kali hahahahaaaaaala ukifuatilia uhalisia utakuta kumbe ni fala mmoja hivi kajificha mvua kwenye nyumba ya shemeji aliye oa dada yake hahahaaaaa.
Endelea kuamini hivyo hivyo kama imakupa faraja,mnapenda kusikia watu wanaoteseka tu ili mjifariji kua kumbe wapo na watu wengine wanaoteseka!

Gari ni chombo cha usafiri tu wala sio dalili ya utajiri,acha kua na mawazo mgando.tafuta hela ili siku nyingine hivi vitu vidogo vidogo uwe unaona ni vitu vya kawaida tu na sio maajabu.
 
Hivi kuna tatizo gani mtu akipewa urithi? Maana watu mnakandiaga sana mali za urithi hua zina shida gani?
mali za urithi hazina shida,wala kurithi mali sio dhambi,ila ni wale waliorithi labda harrier,kumdharau na kumuona mtu aliyenunua passo used,kwa kuvuja jasho sana,kuwa hana akili na ni maskini,na analazimisha kuwa na gari wakati uwezo hana,hapo ndo tatizo linaanzia.
 
Sawa mkuu hapo nimekuelewa...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Sio bei tu , bali hata upatikanaji wa spea ni rahisi
Niliwahi kumiliki nissan miaka fulani ikaja kupata chamgamoto ya drive shaft , jiji zima ilikosekana
 
Mimi magari ninayo na sio moja tu pia sio kwa kulazimisha,

Naona kisu kimekuchoma kunako ndio maana ukatoka shimoni.
Mnajificha nyuma ya keyboard...gari zipi we unazo tupe plate no zake niko TRA hapa nihakikishe mmiliki na aina ya gari
 
Kwa hio ukimiliki vanguard pia ni nafuu kluger je?
 
Mnajificha nyuma ya keyboard...gari zipi we unazo tupe plate no zake niko TRA hapa nihakikishe mmiliki na aina ya gari
Hivi mtu angesema anamiliki Guta ungehoji hivi? hivi kumiliki Gari ni jambo kubwa sana eeh! Eti nipo tra! πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Hivi kuna tatizo gani mtu akipewa urithi? Maana watu mnakandiaga sana mali za urithi hua zina shida gani?
Mkuu hakuna tatizo kuwa na Mali za urithi isipokuwa watu wengi wenye mkwanja mrefu wa urithi au kitonga Huwa wanadharau sana Kwa watu wa kipato cha chini au walio kwenye hustle ya kujikwamua kimaisha. Lakini mtu mwenye mkwanja alio hustle from zero to hero Huwa wana appreciate sana hustle za watu wa kipato cha chini na sometime wanakupa faraja na mbinu za kutoka kimaisha na sio kukudharau.
 
mie wala sijajisifu bana na wala sihitaji kufanya hivyo chalii yangu.
 
We huna chochote zaidi ya simu yako tecno F1 matajiri huwa hatujisifu kama wewe
Kumbe kusema mtu una Gari ni kujisifu? Kumbe kua na Gari ni utajiri?

Tajiri hujisifu ila umejiita tajiri tayari! We kweli hamnazo.
πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…