polokwane
JF-Expert Member
- Dec 16, 2018
- 3,361
- 5,842
jf bana kila mtu ana gari tena kali ,kila mtu anamjengo nyumba kali hahahahaaaaaala ukifuatilia uhalisia utakuta kumbe ni fala mmoja hivi kajificha mvua kwenye nyumba ya shemeji aliye oa dada yake hahahaaaaa.Mimi magari ninayo na sio moja tu pia sio kwa kulazimisha,
Naona kisu kimekuchoma kunako ndio maana ukatoka shimoni.