Benaya-
JF-Expert Member
- Jul 31, 2019
- 4,415
- 7,631
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]lazimisha na wewe uwe nalo uone kama inawezekana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]lazimisha na wewe uwe nalo uone kama inawezekana
Hahaha vibamia hamna .[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kapuku ni mimi tu humu jamiiforums.
Humu kila mtu taita, kila mtu ana degree, kila mtu ana pisi kali, na kila mtu ana uume mkubwa.
Dah, inabidi kucheka tu, kumbe humu Kuna matahira!!Ndio umeandika nini wewe hamnazo? Gari unaona ni kitu kikubwa sana mpaka chakutokuamini?
Wewe unajua mimi naishi wapi mpaka mtu akitaja spare ya elfu 5 nijue ni gari gani?
Acha kukariri maisha,jf ni international forums.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naona hadi sasa ma Don 3 makapuku 0
wewe mwenye level ya kumiliki gari unamsaidiaje akiwa na tatizo la kuhitaji usafiri?Bado hujafikia level ya kumiliki Gari,sema unalazimisha tu.
aah wapi.hamna lolote. ni tajiri wa jf,hawa ndo unakuta anatukana kila gari inayopita mbele yake kwa kusema ya mkopo,ukimwambia nawewe kakope anakasirika.Hehehee bwana tajiri wetu samahani sana nimekosea kujibishana na tajiri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna tajiri anayetajiri kwa njia halali umkute anakashfu wasio nacho,labda utajiri wa majini na chuma ulete,Kwa umasikini wako unaona ni tambo ila ungekua vizuri ungeona ni jambo la kawaida,
Tunashangaa alivyoshangilia kutumia buku kumi,atafute helaSasa a diagnose nini wakati anajua kabisa tatizo ni oil sili ya diff imetoka? Hebu acheni basi ushamba
Kwa hapa Tanzania nafikiri kwenye 75% ya magari yote ni TOYOTA na hivyo spea zipo kwa wingi na bei yake ni rafiki kulinganisha na aina nyingine za magari
tangu zamani hali ndo hiyo,na maskini hataki umpite au mlingane,siku zote anataka muwe chini yake,,maskini wa roho,,Nimegundua kuwa masikini ana roho mbaya kuliko mchawi[emoji23][emoji23]
pointi hatari sana,,,agiza azam cola,,kubwa baridiii..ntalipawewe mwenye level ya kumiliki gari unamsaidiaje akiwa na tatizo la kuhitaji usafiri?
Alafu ikumbukwe kwamba siyo kila anayemiliki gari la gharama amelipata kwa njia halali.
Na matapeli,majambazi ,wahujumu uchumi wanayo,ila kwa gharama ya wavuja jasho wengine.
huwezi kuwa unamiliki gari zuri au nyumba nzuri kwa kuitafuta mwenyewe ukakejeri wapambanaji.
Tuendelee kutafakari.
Kashfa iko wapi hapo? Acheni kukariri,ingekua mtu anajisifia umasikini wake ungesema ni kashfa?Hakuna tajiri anayetajiri kwa njia halali umkute anakashfu wasio nacho,labda utajiri wa majini na chuma ulete,
Jifunze kwa marehemu Dr.Mengi alivyokuwa mnyenyekevu na kusaidia wasiojiweza.
Ndio nyie hua mna amini kua matajiri hua wana Joka kubwa chumbani ambalo ndio hua linawapa hela! Tafuta Helawewe mwenye level ya kumiliki gari unamsaidiaje akiwa na tatizo la kuhitaji usafiri?
Alafu ikumbukwe kwamba siyo kila anayemiliki gari la gharama amelipata kwa njia halali.
Na matapeli,majambazi ,wahujumu uchumi wanayo,ila kwa gharama ya wavuja jasho wengine.
huwezi kuwa unamiliki gari zuri au nyumba nzuri kwa kuitafuta mwenyewe ukakejeri wapambanaji.
Tuendelee kutafakari.
Hata vichaa hua wanajiona wao wana akili zaidi kulilo sisi tulio timamu hivyo sikushangai.Dah, inabidi kucheka tu, kumbe humu Kuna matahira!!
Mwanaume kujichekesha chekesha hovyo hua sio dalili nzuri.
Huwa nashangaa sana eti "umenunua gari pesa ya mawazo"Kwamba ili umiliki gari unatakiwa uwe na pesa ya akiba isiyoisha muda wote yenye uwezo wa kununua gari jingine au mawili hivi.[emoji16]!
Huyo boya atakuwa mhaya tu hana vya gari wala nini anajisifia tuSio wote wanaonunua magari wako vizuri au wana uwezo sana, kuna sababu tu mbalimbali zinafanya mtu ulazimike kuwa na gari.
Mbona fresh tu,nadhani mtoa mada alikuwa na lengo la kusifia urahisi wa kumiliki gari ya toyota,hata ikitokea mambo yamekuwa magumu unaweza kutatua tatizo la kiufundi kwa hela kidogo.
Tuache kujikweza bila sababu za msingi wakuu.una magari mengi .... si vibaya safi sana....
Hapana inatakiwa usiwe tu na hela ya mawazo..Kwamba ili umiliki gari unatakiwa uwe na pesa ya akiba isiyoisha muda wote yenye uwezo wa kununua gari jingine au mawili hivi.[emoji16]!
Passo Haina difuitakuwa passo hiyo gari yako.
una V8 kweli itumike 10k
Sema tu nyingi zimetengenezwa special kwa ajili yetu sisi walala hoiNimetoka sehemu na gari yangu, kufika home nacheki tairi ya nyuma kushoto, dah yote imelowa oil
Kumwita fundi anasema ni oil ya diff, seal ya ekseli imekufa.
Nikicheki mfukoni, mambo yako ovyo vibaya sana, fundi akatoa oil seal, kwenda dukani wananiambia sh 5000/(elfu tano), nilijua labda wamekosea bei, kumbe ni sawa, nikampa fundi akafunga, nae nikampoza 5000/=, jumla nimetumia 10 tu,
Kweli kuna gari kali sana duniani, ila mwacheni toyota abaki kuwa toyota.
Waombe wasimamizi wa jf wakufanye verified user,tukutembelee tujionee maajabu ya utajiri wako.Kashfa iko wapi hapo? Acheni kukariri,ingekua mtu anajisifia umasikini wake ungesema ni kashfa?
Tatizo mnapenda tu kusikia habari za watu kua wana dhiki na wanateseka.