Waafrika hasa tanzania huwaambii kitu kuhusu usa .. wao wanapaita mamtoniZamani hatukujua kwamba huyu mwamba marekani anajipambania maslahi yake anavyojihusisha na vita katika maeneo mbalimbali ulimwenguni. Tunamshukuru Trump mzee wa ukweli na uwazi ambaye hana chembe ya unafiki, kwa kuliweka hili bayana. Sasa ni rasmi kila tunapomuona marekani anang"ang"ana kujiingiza kwenye mizozo ni kwa sababu za kiuchumi.
CC: Yoda usirudie tena kumuita Trump mpuuzi. Unafikiri bila yeye mambo haya aliyoyaweka wazi tungeyajulia wapi?