Waafrika hasa tanzania huwaambii kitu kuhusu usa .. wao wanapaita mamtoniZamani hatukujua kwamba huyu mwamba marekani anajipambania maslahi yake anavyojihusisha na vita katika maeneo mbalimbali ulimwenguni. Tunamshukuru Trump mzee wa ukweli na uwazi ambaye hana chembe ya unafiki, kwa kuliweka hili bayana. Sasa ni rasmi kila tunapomuona marekani anang"ang"ana kujiingiza kwenye mizozo ni kwa sababu za kiuchumi.
CC: Yoda usirudie tena kumuita Trump mpuuzi. Unafikiri bila yeye mambo haya aliyoyaweka wazi tungeyajulia wapi?
Naargue na watu wanaojitambua siyo msukule wa kiarabu kama wewe.U have nothing to argue kwa sababu huwezi kufikiria hadi mzungu akukaririshe
Mjinga mwingine huyu. USA wanakaribia kila kitu. Shida mmebeba historia zenu za uongo kwamba sijui mali za afrika ndo zimejenga ulaya na marekani. Huo na umburula wa hali ya juu na ukiongea hivyo utachekwa sanaHawajui ya kwamba mali iliyoibwa kwao ndiyo iliyotumika kujenga mamtoni
Juzi kati hapa Trump alisema rais wa Ukraine ni dikiteta na hafai kuwa kiongozi one week later huyo huyo dikiteta amemkaribisha white house kumsainisha deal la kuinyonya Ukraine. Kweli USA huwa hana Adui wala Rafiki wa kudumu.Zamani hatukujua kwamba huyu mwamba marekani anajipambania maslahi yake anavyojihusisha na vita katika maeneo mbalimbali ulimwenguni. Tunamshukuru Trump mzee wa ukweli na uwazi ambaye hana chembe ya unafiki, kwa kuliweka hili bayana. Sasa ni rasmi kila tunapomuona marekani anang"ang"ana kujiingiza kwenye mizozo ni kwa sababu za kiuchumi.
CC: Yoda usirudie tena kumuita Trump mpuuzi. Unafikiri bila yeye mambo haya aliyoyaweka wazi tungeyajulia wapi?
SIku sii nyingi tukimsikia Trump anataka kununua eneo lenye mapigano yanayoongozwa na M23 hapo DRC kwa kisingizio anataka amalize huo mzozo hatutashangaa, kama anavyotaka kufanya pale Gaza. πKagame anaiba madini live live. Wenzake mabeberu wanazuga kama vile wanaenda kusaidia kuleta amani. Halafu mkizubaa, wanajipakulia minyama
Mr make America great again soon ata saini deal na Tchisekedi la kuchimba madini ya Congo, πKagame anaiba madini live live. Wenzake mabeberu wanazuga kama vile wanaenda kusaidia kuleta amani. Halafu mkizubaa, wanajipakulia minyama
TRUMP , ZELENSKY MEETING DEVOLVES INTO SHOUTING MATCH.SIku sii nyingi tukimsikia Trump anataka kununua eneo lenye mapigano yanayoongozwa na M23 hapo DRC kwa kisingizio anataka amalize huo mzozo hatutashangaa, kama anavyotaka kufanya pale Gaza. π
Mr make America great again soon ata saini deal na Tchisekedi la kuchimba madini ya Congo, π
Dogo wamemweka mtu kati lakini bado hajakubali kuwa mnyongeπTRUMP , ZELENSKY MEETING DEVOLVES INTO SHOUTING MATCH.
Nimemkubali sana Zelensky kamshangaza Trump kwenye deal lake la kumsainisha kirahisi mpaka Trump aka loose temple na kumtishia kuwa hawezi kuwa great guy bila USA kuwa upande wake.
Hii nafikiri ni mara ya kwanza kutokea mbele ya cameraπ
TRUMP , ZELENSKY MEETING DEVOLVES INTO SHOUTING MATCH.
Nimemkubali sana Zelensky kamshangaza Trump kwenye deal lake la kumsainisha kirahisi mpaka Trump aka loose temple na kumtishia kuwa hawezi kuwa great guy bila USA kuwa upande wake.
Hii nafikiri ni mara ya kwanza kutokea mbele ya cameraπ