IdiotNasasa unakwenda kuwakweka mama na dingi yako eti?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
IdiotNasasa unakwenda kuwakweka mama na dingi yako eti?
Onywanokobhe!Idiot
Hiyo timu iliwahi kuifunga Simba kwenye mechi ya kirafikiKukuondolea aibu wewe na nani?
Halafu hili likilaza litoa mada linakuambia eti lingeona aibu Zamalek kutolewa.Hiyo timu iliwahi kuifunga Simba kwenye mechi ya kirafiki
Hatahivyo sikushangai na vijihasira vyako kwa mambo rahisi kama haya, nayajua matatzo yanayowapata mabinti wenye mimba changa.Halafu hili likilaza litoa mada linakuambia eti lingeona aibu Zamalek kutolewa.
ulibeti wewe hamna lolote..Ingekuwa aibu na fedheha kama zamalek ingetolewa na hawa Arta Solar ya Djibout, lakini fulltime Zamalek 4-1 Arta Solar, agrigate 4-3.
Alianza Zamalek kuchezea kipigo cha 2-0 ugenini! Katika game yaleo mpaka half time Zamalek alikuwa nyuma kwa goli moja hivyo kudaiwa goli 4 ndani ya dakika 45 za kipindi cha pili!
Wanaume wamepambana na kukwepa fedheha na hatimae dakika ya 89 wakaweka chuma cha 4! Hakika ingekuwa aibu sana na fedheha kama aliyoipata Pirates jana.
Heri wewe umeligundua mapema, sio hao wanaotukana hovyo.ulibeti wewe hamna lolote..