Asante TFF kutuwekea refa wa kimkakati kwenye game za kimkakati

injinia tu ana mipango mikubwa msimu huu ya nusu fainali au kutwaa ubingwa wa afrika ila akiamua lake raundi ya 8 tu hapo Yanga wanaongoza ligi na karia hawezi zuia chochote...
 
Mie nawasikitikia hawa wadada.
Pana marefa wawili wa ligi kuu (Taji Bakari na Mwenda) walikuwa marafiki zangu miaka ya 90 walikuwa wakiniambia vioja wanavovipata wakiwa katikati kwenye mechi za kimkakati, hutaamini kusikia.
Sasa hawa wadada mambo haya sijui kama wanashiriki masikini ya Mungu, nadhani wanamwachia Mungu tu.
 
Nyie utopolo mbona Ihefu imewachanganya sana?

Hivi anayepanga waamuzi ni Karia kwani?
Kweli wenye akili huko kwenu ni wawili tu
 
kama hujuwi yanga wapo vizuri sana tofauti na simba na ndiyo maana unawaona yanga wanabusara tofauti na simba hawana busara matusi mengi na hata mpira hawajuwi.
Wanalalama kwa nini?Anajiamini hapigi mayowe anategemea uwezo wake.Ukiona mayowe na visingizio ni wazi uwezo haupo.Debe tupu haliachi makelele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…