Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
injinia tu ana mipango mikubwa msimu huu ya nusu fainali au kutwaa ubingwa wa afrika ila akiamua lake raundi ya 8 tu hapo Yanga wanaongoza ligi na karia hawezi zuia chochote...Sisi Kama wanalunyasi hatuna budi kumshukuru karia kuendelea kutuwekea refa wa kimkakati kwenye mechi zetu mpaka tuutwae ubingwa hata kama tunacheza mpira papatu papatu. Endelea kutumia udikteta wako hapo tff mpaka tubebe ubingwa kwa kishindo msimu huu
Tuweke imani kwa refa wetu wa kimkakati apangwe zile mechi ngumu za kutuzia kubeba ubingwa
Simba
Guvu moya
Nyie utopolo mbona Ihefu imewachanganya sana?Sisi Kama wanalunyasi hatuna budi kumshukuru karia kuendelea kutuwekea refa wa kimkakati kwenye mechi zetu mpaka tuutwae ubingwa hata kama tunacheza mpira papatu papatu. Endelea kutumia udikteta wako hapo tff mpaka tubebe ubingwa kwa kishindo msimu huu
Tuweke imani kwa refa wetu wa kimkakati apangwe zile mechi ngumu za kutuzia kubeba ubingwa
Simba
Guvu moya
kama hujuwi yanga wapo vizuri sana tofauti na simba na ndiyo maana unawaona yanga wanabusara tofauti na simba hawana busara matusi mengi na hata mpira hawajuwi.View attachment 2776808
YANGA ni timu ya Wapumbavu.
YANGA ni timu ya Wanchi wengi WAJINGA.
YANGA ni timu ya WATU ambao hawajaenda shule.
Wanalalama kwa nini?Anajiamini hapigi mayowe anategemea uwezo wake.Ukiona mayowe na visingizio ni wazi uwezo haupo.Debe tupu haliachi makelele.kama hujuwi yanga wapo vizuri sana tofauti na simba na ndiyo maana unawaona yanga wanabusara tofauti na simba hawana busara matusi mengi na hata mpira hawajuwi.