DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,983
- 11,857
Kwa huyu arteta aseeh bringbackourWENGERwe'llmissuDuh! Nyie wanaArsenal hebu acheni unafiki aisee, yani kutoka "wenger must leave" mpaka "always in our hearts" Sasa na kwa taarifa yenu kashahairisha kuondoka kasema alikuwa anawabeep tu [emoji38].