The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Nilitimiza hapo kwenye bluu ili nihakikishe kama kweli alikuwa na njaa...lolSuperb.
@Fynest, ulimpa mia ngapi sasa?Au ulimwambia "twende nikakununulie" ili uhakikishe mwenyewe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilitimiza hapo kwenye bluu ili nihakikishe kama kweli alikuwa na njaa...lolSuperb.
@Fynest, ulimpa mia ngapi sasa?Au ulimwambia "twende nikakununulie" ili uhakikishe mwenyewe?
Wewe ni mmoja wa wachache.Mimi huwa nashukuru hata pale ninapo kwenda Restaurant na mshukuru muhudumu kwa huduma aliyonipatia hata dereva wa teksi, daladala na hata muuza mihogo pia namshuru kwa huduma yake. thanks na sorry zina maana kubwa mno ila Watanganyika wengi hawajui na wanadharau sana. Na ukitaka kujuwa kuwa wanadharau nenda Bar ujione mwenyewe jinsi muhudumu wa Bar anavyodhalilishwa. Ustaarabu Watanganyika ZERO kabsaaaaaaa![]()
Mangi mwenyewe nilikuwa namdai nililipa akaniambia hana mia nipitie baadae
Yani hapendi kushukuriwa au hapendi kushukuru tu kwa ujumla?
Na amtaje kabisa manake mie sinaga tabia ya kushukuru kwa ki english, mara zote namwambiaga Asante!..sasa hapa kasema ameambiwa Thank You!..lol. Mie simo.nani kakushukuru? SL,Husn au Smile?
Nilimuuliza kama ana toffee akasema hana nikamwambia "Asante" mia yangu nitapitia baadaeasa na wewe unaacha mia kwa mangi si ungechukua sigara Nyota moja.
Unakumbuka kipindi kile "Shikamoo naomba hela ya kununua barafu"Hehhehe, kama wale watoto wanaoombaga mjini sio.Unamwambia haya kama una njaa twende ukale wasije wakakugeuza mtaji.
Kongosho umesahau kama TF anavutaga embasy? Nyota angepeleka wapi? Asprin ndie anavuta nyota, naona umechanganya majina..asa na wewe unaacha mia kwa mangi si ungechukua sigara Nyota moja.
Mwenzangu hapendi kushukuru kwa watoa huduma ye anadai c unamlipa kwani ni bure? ye apenda kushukuriwa tuuu nafikiri unawajua watu wa hivyo..dizain wakeiiii
Thanks Lizzy for this post!
Ni kweli watu wamesahau kusema asante... Mi niko very cautious kutoa shukurani which makes me very sensitive nisipoambiwa asante when I think I deserve it.
Nadhani tungefikiria pia upande wa pili, mtu alie fanya jambo njema alifanya kwa lengo gani? kuna mtu anafanya sababu ni jukumu lake, ila anafanya kwa bidii (taxi driver) na hategemei asante, ila ukimshukuru unamuongezea steem ya kufanya kazi yake a bit better for each customer.
Ila kuna watu wanafanya mambo kwa kutegemea recognition. Ni mfano wa MP who pays 10 millions to cover his donation of a wheel wothr 3 millions. Huyo kafanya jambo kwa kutegemea "asante" na wala sio kwa lengo lingine. wato kama hawa mi siwashukuru (even if we needed the wheel).
Na naona kuna mtu alisha gusia "asante za kinafiki"...
That's my contribution
Nashangaa watu wanabania wakati sio pesa.I cannot do without this word... ''AHSANTE''
(nina na maneno kama samahani, pole, na tafadhali)
Kwanza hongera kwa hapo pekundu.RR kwani hao wanaosaidia kwa nia ya kupata recognition nia yao inaondoa faida na ukubwa wa jambo walilofanya?Kama haiondoi kwanini bado wasistahili hiyo asante?Nadhani ni muhimu tukaangalia uzuri/ukubwa/faida ya kitu anachofanya mtu bila kujali sababu zake.
Mengine yote nakubaliana na wewe, mi hua nampa kila mtu anaefanikisha kitu kwaajili yangu bila kujali udogo wake.
Kwanza hongera kwa hapo pekundu.
Back to your question: nadhani kuna watu wanatumia "good action' for their own interest. Kweli kila kitu tunafanya is in our interest ila at least consider the interest of others too. Sasa kama natoa kumi na natumia mia kuhakikisha watu wote wanajua nimetoa kumi, who's interest am I after? si nimewatumia watu wengine?
It is arguable... mi sisemi kama I am right kwa vile siwashukuru (in fact nikiweza nakataa zawadi kama hizi all together) ila just think about it. labda nitoe mfano mngine:
Mwanaume akitumia zawadi kum-seduce mwanamke (tunachukua mfano wa zawadi za bei ghali ambazo the girl cannot afford) kwa lengo la kufanya nae tendo la ndoa alafu amuache, should the girl be thankfull to receive them?
Coz kusema asante means you are greatfull, right?
we na TS kwani mmeamkia wapi leo?Na amtaje kabisa manake mie sinaga tabia ya kushukuru kwa ki english, mara zote namwambiaga Asante!..sasa hapa kasema ameambiwa Thank You!..lol. Mie simo.
Kabla ya kumshukuru waangalie proportion mama. Kama faida yake kwa kutoa sukari ni kubwa kuliko faida yao kwa kutumia sukari basi yeye ndie awashukuru na sio the opposite, maana wenyewe ndio wanamsaidia kupata sifa, the rest is decoration of the scene...Hehehehe inategemea na huyo msichana mwenyewe alivyo.Kama ni materialistic I don't see why not.
Tukirudi kwenye swala la kutoa kwa faida binafsi ngoja nikupe mfano mwingine.Je akitokea mtu akatoa tumillioni twake tuwili akanunua magunia ya sukari na mchele na kuwapelekea watoto yatima ili atokee kwenye gazeti/tv (publicity) hao watoto hawatakiwi kumshukuru?Maana bila kujali anachopata yeye atakua amewawezesha kula kwa muda.