Asanten sana wana JF kwa ushauri wenu,nimefanikiwa kumaliza tatizo na x bf wangu.


una uhakika huyo jamaa haingii humu jf/mmu? maana.......
 
hop hukusoma kisa chake ungesoma ucngemlaumu coz alifanya km we ulivyofany lkn haikusaidia.

ame summarize nimemwelewa inawezekana na yeye alikuwa anajipitisha kama anafanya revenge..
 
duh uking'atwa na nyoka haya ukiguswa na ujani tu unaruka......... mwambie ajipange bana, aje na kavogue hivi si eti?
Acha kavogue, hata aje na ndege haitakaa itokee dunian.
 
Amani ya moyo haitafutwi hivi dada yangu,lakini kama una enjoy haina tatizo endelea na maisha yako

Niliamua kutumia njia hii kutokana na mtu mwenyewe,hope mungu atanisamehe kwa hili kwan nia yangu ilikuwa kutafuta amani ya moyo wangu kwa namna ambayo isingenipa madhara wala kumdhuru mwingine.
 
siri ni ya mtu mmoja, umeuhusisha hao rafiki zake, tegemea siri kuvuja.
 
Duh! umwemweza..lakini Je? ingekuwaje kama naye angekudanganya kuwa alishathirika miaka mingi iliyopita ila aliogopa kukwambia?
 
Duh! kumbe watu wengine mpaka watishwe na H.I.V ndio wanaogopa, haya shosti relax ule happy ......
 
siri ni ya mtu mmoja, umeuhusisha hao rafiki zake, tegemea siri kuvuja.
Mbele ya ngoma hata aambiwe ilikuwa uongo anavyoiogopa wala hatanitafuta, hana hamu hata ya kuniona tena mkuu!
 
Duh! umwemweza..lakini Je? ingekuwaje kama naye angekudanganya kuwa alishathirika miaka mingi iliyopita ila aliogopa kukwambia?
Kwa matatizo aliyonayo, nikamwongezea na ya kwangu akili ilishasizi akabaki amechanganyikiwa tu na wala hakuweza kuwaza hilo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…