Asanten sana wana JF kwa ushauri wenu,nimefanikiwa kumaliza tatizo na x bf wangu.

Asanten sana wana JF kwa ushauri wenu,nimefanikiwa kumaliza tatizo na x bf wangu.

aKIPITIAPITIA KWENYE HILI JAMVI ITAKUWA IMEKULA KWAKO NA ATARUDI VIBAYA!! KUWA MWANGALIFU CANTALISA!![/QUOT
Nina uhakika na ninalolifanya haliwezi kunipa madhara kwa kiac hicho,najua hataweza kuamini kamwe km ilikuwa uongo,jamani inategemea na namna anavyonifahamu na kwa jinsi nilivyompelekea ujumbe na kiwango chake cha kuchanganua mambo,ndio maana nasema hata akiisoma hii story bado hataweza kuamini kbs.!
 
makosa yako makubwa ni mawili tu

1. kutumia rafiki zake

2. kuandika mtandaoni jinsi ilivyokuwa ukafanikisha...ingeweza kutosha tu kama ungetoa shukrabi bila maelezo yote hayo...

kwa kuwa uko tayari hata kutoa SADAKA KUBWA...basi haina shida.....
Mkuu najua una nia njema sana kwangu ila nakutoa hofu kwa uwezo wa mungu nitakuwa salama kbs kuhusiana na hili!
 
I can see your a good actress, ila umeniudhi sana C'alisia kusingizia ugonjwa, tena ugonjwa wenyewe huo, bora hata basi ungemdanganya kwenu kuna magonjwa ya kurithi kama ukoma au vinginevyo, yani vichwa vyenu vyote wewe na hao rafiki zake na mshkaji,
Hakuna hata mmoja wenu alie pinga wazo hilo kweli,
wote mkaona sawaaa yani ndo mwisho wenu wakusugua vichwa kweli dear.

Naomba nikwambie kitu kimoja MDOMO HUA UNAUMBA TENA SANA, na kwakua mungu wetu huwa hadhihakiwi unachomuomba yeye
Anakupatia hata kama ulikua unamtania. Tubu kwamungu asije ruhusu shetani akupitishe kwenye janga hilo ndugu yangu.
Mungu akuhurumie tu.
 
Njia hii tuliitumia kutokana na mtu mwenyewe alivyo na tulikitumia kitu ambacho yeye anakiogopa kuliko vyote, nimekuelewa nimeshatubu kwa mungu wangu na naamini nimesamehewa na kamwe hatonipa janga hilo kutokana na mie kulitumia ili niepukane na matatizo.
 
Back
Top Bottom