Asanten sana wana JF kwa ushauri wenu,nimefanikiwa kumaliza tatizo na x bf wangu.

Na kweli namshukuru mungu sana mkuu.

swali la msingi:hamuishi karibu???
Umetumia rafiki zake kusuka mpango huu,wakimweleza ukweli,umejipangaje?? Kulingana na ulivyomwelezea jamaa,wacwac wangu akifaham ukweli anaweza kukufanyia ki2 mbaya(km alimpiga mkewe mpk mmb ikatoka)
 
siku mambo yakigeua uje utueleze
maana hakunaga siri ya watu wawili



Namjua kwa jinsi anavyoogopa ngoma,kwa style yangu niliyitumia na kwa jinsi alivyopokea ile msg hata angekuja mama yake mzazi amwambie ilikuwa uongo kamwe hataamin, ndio maana wala sina wacwac na hilo,na kweli nina aman tele!
 

Hapo kwenye red. walahi nyie wanawake kazi ipo kweli kweli. Umeshakuwa na wangapi baada ya kumwaga huyo jamaa!
 

hapo kwenye blue: kuna mtu humu alishawahi kuleta thread inayoongelea uwezo mkubwa wa wanawake ku pretend hadi kufikia kiwango cha kulia kwa mambo waliyotenda lakini wanakataa. Ndiyo maana huwa nasema mwanaume lazima ukomae kwa kila jambo unaloamini uko sahihi, vinginevyo hawa 'jamaa' wanweza kukuchezea shere ukaamini kweli kumbe ni fix tu, kudadadeki!
 
mpaka hao dada umeshajiwekea gundu, lazima utapata ukimwi tu, piga ua. Kwani umesahau kuwa maneno yanaumba?
 
Dah! Pole sana...inahitaji moyo wa hali ya juu kuchukua hatua ulizochukua hadi kutafuta vyeti vya kuthibitisha kwamba umeathirika. Natumai hii story yako umeibadilisha kidogo ili asikushtukie kama naye huingia hapa. Nakutakia maisha mema baada ya kumuepuka msumbufu huyu.
 
Wala hata akitangaza vp kama wangu yupo basi hataweza kumzuia kwani akipata hiyo story mwanaume makini lzm atanitaka tukapime na ndipo ataumbuka huyo mmbea, isitoshe wengi wananjua tulikuwa wapenz na anajulikana kwa ulevi na hata alipooa watu walijua pia na mkewe alipomkimbia pia watu wanajua so watajua ni mfa maji tu haishi kutapatapa, wali halinisumbi kabisa!
 
mhhhhhhhhhhh
inakuwa ngumu kidogo ati
anyway subiri tu
utulie na uache micharuko sasa
usidandie tena mume wa mwanamke mwenzio


 
Asante sana mkuu, nashukuru mungu nilipata mawazo ya kutosha hapa na nikayafanyia kazi,humu haingiagi na kati ya watu wanaoonaga hii mitando haina maana yeye ni mmojawapo.
 
mhhhhhhhhhhh
inakuwa ngumu kidogo ati
anyway subiri tu
utulie na uache micharuko sasa
usidandie tena mume wa mwanamke mwenzio
Sinaga hoby ya kufanywa kidumu,na sijawahi kuwa mcharuko labda mtu anicharue hapo nacharukaga kweli kweli!
 
mpaka hao dada umeshajiwekea gundu, lazima utapata ukimwi tu, piga ua. Kwani umesahau kuwa maneno yanaumba?
Hiyo ni iman tu inamaana yote ya uongo ambayo ulishajisingizia yamekupata? au unataka kutuambia hujawahi kukutwa na situation ikakulazimu kusema uongo?Nikiutaka kweli nitaupata, ila ule wa bahati mbaya hata wewe ambae hujajichuria unaweza kuupata pia!
 
Habari ndio hiyo mkuu, maishani usanii muhimu sana hasa unapotakafuta aman ya moyo.
 
Hapo kwenye red. walahi nyie wanawake kazi ipo kweli kweli. Umeshakuwa na wangapi baada ya kumwaga huyo jamaa!
Kabla sijakujibu unaweza kukummbuka mpaka sasa umeshawavuanguo wangapi?na wangapi umewatapeli?usiangalie kibanzi kwenye jicho la mwenzio.................!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…