Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,221
- 2,930
- Thread starter
-
- #81
Amen,mungu wetu ni mwema na hakika anamjua anayenifaa na siku moja atanikutanisha naye.Pamoja na kuwa kimya yakupasa utulie sana
Jitahidi kuwa makini na omba Mungu upate mume aliye mpenzi wa kweli
Subiri nitatangaza humu humu so utatuma maombi!Nikubali mimi pls,wala sitokusumbua
Wala hatuishi karibu, namfahamu ndio maana nilitumia njia ambayo najua hata aje malaika amwambie ulidanganywa kamwe hawezi kukubali so wala sina wacwac na hilo,na hawezi kunifanya lolote kwa sasa kwa aliyoyafanya mpaka kwa mkewe hata jamii inayomzunguka kwa sasa anionea aibu!swali la msingi:hamuishi karibu???
Umetumia rafiki zake kusuka mpango huu,wakimweleza ukweli,umejipangaje?? Kulingana na ulivyomwelezea jamaa,wacwac wangu akifaham ukweli anaweza kukufanyia ki2 mbaya(km alimpiga mkewe mpk mmb ikatoka)
Wala hatuishi karibu, namfahamu ndio maana nilitumia njia ambayo najua hata aje malaika amwambie ulidanganywa kamwe hawezi kukubali so wala sina wacwac na hilo,na hawezi kunifanya lolote kwa sasa kwa aliyoyafanya mpaka kwa mkewe hata jamii inayomzunguka kwa sasa anionea aibu!
Kama unalosema ni kweli Cantalisia hapa JF ni noma mbaya, watu wana mbinu za hali ya juu hata kutimua mtu wa watu akakimbia!!!!!!!!!! JF kali!!!!!Nilileta uzi hapa usemao;'Nisaidien nifanye nn ili aniache na maisha yangu'.Nashukuru nilipata mawazo mengi sana kutoka kwenu,na jtano iliyopita nikayatumia kwa kuwafuta maraki zake 2 wanaommudu nikawaeleza situation nzima,kesho yake wakaonana nae wakataka kujua kwanza 7bu za yeye kunifanya vile akawaambia ananihitaji kwa garama yoyote kwana ndoa yake haina aman na mkewe karudi kwao alimpiga mpaka mimba aliyokuwa nayo ikatoka na wazazi wa mke wamemwambia akachue mahari yake so akaona mtu pekee wa kuweza kumwelewa na kuishi nae ni mimi ndio maana yuko radhi kwa lolote ili mradi turudiane,wakamwambia poa asinisumbue tena kwa vitisho wao wataongea na mimi.
Ijumaa tukakutana tena na wale marafiki zake na kujadili tutumie njia gani, basi nikawapa wazo niliipata humu ya kuwa tutafute cheki cha kuonesha nimeathirika ajue hatuwezi kurudiana,kweli wale marafiki zake wakakubali mmojawao ana rafiki yake ni daktari akaongea nae jana akapata cheti tena chenye tarehe ya mwezi wa nne na kinachoonyesha nimeathirika na ninahudhuria cklinic.
Basi jana jioni tukenda nyumbani kwa mmojawapo wa wale marafiki zake na yeye akaja wakamwambia wameongea na mimi nami nimeomba nimjibu maombi yake mbele ya rafiki zake, nikaanza kwa kumpa pole na matatizo ya ndoa yake then nikamhadithia kuwa nilipoachana nae nilipata bwana akaniambukiza ukimwi na sasa naumwa nikamwonyesha na vyeti vyenye maelezo ya kuugua kwangu,pale ilibidi nivute hisia mpaka machozi yakawa yanatoka ili aamini,basi kusikia vile alistuka yani akawa kama amechanganyikiwa flan akawa ananitizama kwa woga, alisikitika sana na akajiona yeye ndio alisababisha kwan tusingeachana nisingepata hayo matatatizo.
Kwa kweli alijutia sana na akaniomba nimsamehe na akanishukuru kwa kutolipiza kisasi kwan ningeweza kukubali turudiane ili nimwambukize,kwakweli tangu mda ule alikosa amani alikuwa mwoga,hata maneno yakawa yanakatika katika akiongea,akaniahidi pale pale kuwa hatarudia tena kunisumbua kwa namna yoyote ile na kuanzia cku ile ataniheshimu sana kwan nimeyajali sana maisha yake kwa kuwa mkweli kwake,akanitaka niwe na amani kabisa,hata kama nikipata mwanaume atakaeridhika kuwa nami ktk kuugua kwangu yeye ameridhika kabisa na wala hatanifatilia tena,tukamaliza kikao yeye akasema kuna mahali anawahi so akaondoka akatuacha, kwakweli atulicheka sana alipoondoka kwani jamaa aliogopa hata kunipa mkono tuagane,wakuu nashukuruni sana sana kwani sasa nina aman tele moyoni,mungu awabariki sana.
hapa unataka kusemaje mkuu?leo umejihesabia ushindi lakini nakwambia siku si nyingi uatajua kuwa shetani wa mtu ni mtu
Nahic hivyo coz utakuta mtu ana bf still anatoka na mme wa mtu c ni hoby hiyo au tutaiitaje?mie naiita hoby!au hata km huna bf kwann ukubali kuwa kidumu ile hali unauwezo wa kuwa ndoo!ni hoby tu!hivi vidumu wote na hoby zao!!!!!!!
Huo ni mtazamo wako!nilihitaji amani na nimeipata namshukuru mungu!leo umejihesabia ushindi lakini nakwambia siku si nyingi uatajua kuwa shetani wa mtu ni mtu
Cha msingi ni amani yangu mengine wala siyajali!ninkuhakikishai hii siri itavuja.......nakumbuka kisa cha moshi mwaka jana.....nakuhakikihshia itabumbuluka tu...
Najua nimesoma matukio mengi humu lolote litakalotokea mungu atanipa njia ya kutokea tu, kwan hata hili lilikuwa mzigo kwangu lkn nilipata njia.Kama unalosema ni kweli Cantalisia hapa JF ni noma mbaya, watu wana mbinu za hali ya juu hata kutimua mtu wa watu akakimbia!!!!!!!!!! JF kali!!!!!
hapa unataka kusemaje mkuu?
Ni maoni yako!rahisi kusema
Nina uhakika hapiti humu na hata akipita ataona nyota tu wala hataelewa kitu!Usije ukawa umejichuria manake usitukane mamba wakati hujavuka mto.
Ulivoandika hapo, yeye hapiti huku JF?
Wala siogopi kwani kama nikujisingizia nimejisingizia mwenyewe na sikumsingizia yeye, pili kama ni kumdanganya basi atajua nimemdanganya kwa vile simpendi na simuhitaji kwa garama yoyote.halafu kingine ni hiki: jamaa anaweza kumsimulia mtu juu ya kisa hiki....kumbe huyo msimuliwa ni memba wa hapa jf......kisha memba wa jf akamwambia jamaa kuwa kuna kisa kama hiki kuna dada aliwahi kukisema kwenye mtandao wa jamiiforum yaani kama hiki kabisa kuwa alikuja na rafiki zake na wakaonyesha vyeti kuwa ameathirika na vyeti vilionyesha kuwa anatumia dawa tangu mwenzi wa nne...then memba wa jf akafungua jf na kumuonyesha hii thread......tayari siri itakuwa imevuja.......
kisa cha moshi mwaka jana nacho kilianzia humu jf...dada akidhani haitajulikana maana dada aliamini naalijua kuwa jamaa wala haijui jf......kilichtokea baada ya hapo ni malaika tu ndo wanajua
Nilileta uzi hapa usemao;'Nisaidien nifanye nn ili aniache na maisha yangu'.Nashukuru nilipata mawazo mengi sana kutoka kwenu,na jtano iliyopita nikayatumia kwa kuwafuta maraki zake 2 wanaommudu nikawaeleza situation nzima,kesho yake wakaonana nae wakataka kujua kwanza 7bu za yeye kunifanya vile akawaambia ananihitaji kwa garama yoyote kwana ndoa yake haina aman na mkewe karudi kwao alimpiga mpaka mimba aliyokuwa nayo ikatoka na wazazi wa mke wamemwambia akachue mahari yake so akaona mtu pekee wa kuweza kumwelewa na kuishi nae ni mimi ndio maana yuko radhi kwa lolote ili mradi turudiane,wakamwambia poa asinisumbue tena kwa vitisho wao wataongea na mimi.
Ijumaa tukakutana tena na wale marafiki zake na kujadili tutumie njia gani, basi nikawapa wazo niliipata humu ya kuwa tutafute cheki cha kuonesha nimeathirika ajue hatuwezi kurudiana,kweli wale marafiki zake wakakubali mmojawao ana rafiki yake ni daktari akaongea nae jana akapata cheti tena chenye tarehe ya mwezi wa nne na kinachoonyesha nimeathirika na ninahudhuria cklinic.
Basi jana jioni tukenda nyumbani kwa mmojawapo wa wale marafiki zake na yeye akaja wakamwambia wameongea na mimi nami nimeomba nimjibu maombi yake mbele ya rafiki zake, nikaanza kwa kumpa pole na matatizo ya ndoa yake then nikamhadithia kuwa nilipoachana nae nilipata bwana akaniambukiza ukimwi na sasa naumwa nikamwonyesha na vyeti vyenye maelezo ya kuugua kwangu,pale ilibidi nivute hisia mpaka machozi yakawa yanatoka ili aamini,basi kusikia vile alistuka yani akawa kama amechanganyikiwa flan akawa ananitizama kwa woga, alisikitika sana na akajiona yeye ndio alisababisha kwan tusingeachana nisingepata hayo matatatizo.
Kwa kweli alijutia sana na akaniomba nimsamehe na akanishukuru kwa kutolipiza kisasi kwan ningeweza kukubali turudiane ili nimwambukize,kwakweli tangu mda ule alikosa amani alikuwa mwoga,hata maneno yakawa yanakatika katika akiongea,akaniahidi pale pale kuwa hatarudia tena kunisumbua kwa namna yoyote ile na kuanzia cku ile ataniheshimu sana kwan nimeyajali sana maisha yake kwa kuwa mkweli kwake,akanitaka niwe na amani kabisa,hata kama nikipata mwanaume atakaeridhika kuwa nami ktk kuugua kwangu yeye ameridhika kabisa na wala hatanifatilia tena,tukamaliza kikao yeye akasema kuna mahali anawahi so akaondoka akatuacha, kwakweli atulicheka sana alipoondoka kwani jamaa aliogopa hata kunipa mkono tuagane,wakuu nashukuruni sana sana kwani sasa nina aman tele moyoni,mungu awabariki sana.
Wala siogopi kwani kama nikujisingizia nimejisingizia mwenyewe na sikumsingizia yeye, pili kama ni kumdanganya basi atajua nimemdanganya kwa vile simpendi na simuhitaji kwa garama yoyote.