Tabasabu inamaana nyingi na huwezi kumsoma mtu mara moja,inawezeka kweli ameridhika, au anaona yeye angeweza kufanya zaidi yako,lakini chamsingi ni wewe unavyo toa mada kwao na unavyojiamini ndio utaweza hujua wapi sawa na wapi ulichemsha, lakini kama umefanya na wamefurahia basi ndio dalili za kukukubali all the best.