Asanteni GenZ kwa kutunyamazishia kiredio cha mchina tulikuwa hatulali

Wenzako tu ndo wamekuelewa. Kimya manake washamaliza kazi waliyopewa sasa wanakula tu wakati nyie ndo mwazidisha kelele mara sijui ICC mara hatutaki maridhiano mara hatutaki tume wenzenu huko wako kimya.
Eti 'nyie ndo mwazidisha' unamubania nani pua kizenji, karibu Tanganyika, kwani wewe umekuja kufanya nini humu kama sio uchawa.
 
Bado unapumua, kila siku nyie ni kukanusha tu, jumatatu bbc wanakuja na kitu kizito jiandae kukanusha.
Tutakanusha sana kila kukicha

Tutapinga upuuzi wowote unaolenga kulichafua hili taifa

Tutalilinda taifa hili wether by watershed or bloodshed maana sisi wengne tuna taifa moja tu na hatuna tanzania nyngne
 
Eti 'nyie ndo mwazidisha' unamubania nani pua kizenji, karibu Tanganyika, kwani wewe umekuja kufanya nini humu kama sio uchawa.
Hii ndo kazi muiwezayo. Mmegeukia mipasho na vijembe. Issue ya kukomboa mh...
 
Kelele zilizidi sana mjini tulikuwa hatunywi maji wala kumeza mate, mara sisi ndio chawa wa mama, sisi wafupi wa mama, bodaboda wa mama, wabeba vyuma wa mama, barabara ya mama, hospital ya mama, was too much.

Leo kimya hakuna cha nywi nywi wala nywinywinywi, CCM kimya, Uvccm kimya, chawa wa mama kimya hata mwenyewe kimya
😂😂😂😂

Kuwa indicted ICC sio mchezo!! Samia anashinda kujifukiza ubani kucha!!!!!
 
Tutakanusha sana kila kukicha

Tutapinga upuuzi wowote unaolenga kulichafua hili taifa

Tutalilinda taifa hili wether by watershed or bloodshed maana sisi wengne tuna taifa moja tu na hatuna tanzania nyngne
Ndiyo kazi mliyotumwa usipodanganya mrija utakatwa.
 
-kila mtu anatetea kile anachoamini kina manufaa kwake
-kuitetea tanzania ni kutengeneza mirija ya amani, sitaki mirija ya amani na utulivu ikatwe, maana hyo ikikatwa sitazalisha chochote, familia italala njaa, hakuna cha shamba wala mjn, NADHANI TAREHE 29 OKT 2025 ulijionea mwenyewe
-ulijionea mlivyokula misumari hadi akili zikawakaa vzr na hamna la kufanya nyumbu nyie
 
Kuna mama mmoja anauza viazi Mbagala alijichanganya kuvaa t-shirt ya CCM kilichompata atasimulia wengine
Kelele zilizidi sana mjini tulikuwa hatunywi maji wala kumeza mate, mara sisi ndio chawa wa mama, sisi wafupi wa mama, bodaboda wa mama, wabeba vyuma wa mama, barabara ya mama, hospital ya mama, was too much.

Leo kimya hakuna cha nywi nywi wala nywinywinywi, CCM kimya, Uvccm kimya, chawa wa mama kimya hata mwenyewe kimya.

Wakianza tena tutawajulisha kuna wengine naona bado wanapumua, na wengine wanachungulia kwa kuiba iba.
 
tafuta ela kwa nguvu sana unakaribia kuchizika
Screenshot_20251212-173144~2.png
 
-kila mtu anatetea kile anachoamini kina manufaa kwake
-kuitetea tanzania ni kutengeneza mirija ya amani, sitaki mirija ya amani na utulivu ikatwe, maana hyo ikikatwa sitazalisha chochote, familia italala njaa, hakuna cha shamba wala mjn, NADHANI TAREHE 29 OKT 2025 ulijionea mwenyewe
-ulijionea mlivyokula misumari hadi akili zikawakaa vzr na hamna la kufanya nyumbu nyie
Nani aliua? Au ni yule unayemsema anatetea amani?
 
Back
Top Bottom