Eti 'nyie ndo mwazidisha' unamubania nani pua kizenji, karibu Tanganyika, kwani wewe umekuja kufanya nini humu kama sio uchawa.Wenzako tu ndo wamekuelewa. Kimya manake washamaliza kazi waliyopewa sasa wanakula tu wakati nyie ndo mwazidisha kelele mara sijui ICC mara hatutaki maridhiano mara hatutaki tume wenzenu huko wako kimya.
Tutakanusha sana kila kukichaBado unapumua, kila siku nyie ni kukanusha tu, jumatatu bbc wanakuja na kitu kizito jiandae kukanusha.
tafuta ela kwa nguvu sana unakaribia kuchizika
Hii ndo kazi muiwezayo. Mmegeukia mipasho na vijembe. Issue ya kukomboa mh...Eti 'nyie ndo mwazidisha' unamubania nani pua kizenji, karibu Tanganyika, kwani wewe umekuja kufanya nini humu kama sio uchawa.
Kwani uongo?tafuta ela kwa nguvu sana unakaribia kuchizika
Kelele zilizidi sana mjini tulikuwa hatunywi maji wala kumeza mate, mara sisi ndio chawa wa mama, sisi wafupi wa mama, bodaboda wa mama, wabeba vyuma wa mama, barabara ya mama, hospital ya mama, was too much.
Leo kimya hakuna cha nywi nywi wala nywinywinywi, CCM kimya, Uvccm kimya, chawa wa mama kimya hata mwenyewe kimya😂😂😂😂
ushawahi kujiuliza kwann matajiri wana mawazo na tabia zinazofanana ila maskini kila mtu tabia yakeKwani uongo?
tafuta hela kwa bidii sana mkuuWanawake mna mipasho. Wengi mpo hivyo hasa kama mna elimu za kuunga unga au hamna kabisa.
Ndiyo kazi mliyotumwa usipodanganya mrija utakatwa.Tutakanusha sana kila kukicha
Tutapinga upuuzi wowote unaolenga kulichafua hili taifa
Tutalilinda taifa hili wether by watershed or bloodshed maana sisi wengne tuna taifa moja tu na hatuna tanzania nyngne
-kila mtu anatetea kile anachoamini kina manufaa kwakeNdiyo kazi mliyotumwa usipodanganya mrija utakatwa.
Kelele zilizidi sana mjini tulikuwa hatunywi maji wala kumeza mate, mara sisi ndio chawa wa mama, sisi wafupi wa mama, bodaboda wa mama, wabeba vyuma wa mama, barabara ya mama, hospital ya mama, was too much.
Leo kimya hakuna cha nywi nywi wala nywinywinywi, CCM kimya, Uvccm kimya, chawa wa mama kimya hata mwenyewe kimya.
Wakianza tena tutawajulisha kuna wengine naona bado wanapumua, na wengine wanachungulia kwa kuiba iba.
tafuta ela kwa nguvu sana unakaribia kuchizika
wewe mbona umeshindwa kutafuta hela umebaki kumbong'olea dully?tafuta hela kwa bidii sana mkuu
Sifa kuu ya kuwa chawa wa mama ni uzezeta, ndiyo maana hayajui hata kuandika.halafu sio ela ni hela illiterate.
i amnot responsible for any thoughts that comes out of your mindwewe mbona umeshindwa kutafuta hela umebaki kumbong'olea dully?
kazi yako ya kutunza picha ni ngumu sana
Nani aliua? Au ni yule unayemsema anatetea amani?-kila mtu anatetea kile anachoamini kina manufaa kwake
-kuitetea tanzania ni kutengeneza mirija ya amani, sitaki mirija ya amani na utulivu ikatwe, maana hyo ikikatwa sitazalisha chochote, familia italala njaa, hakuna cha shamba wala mjn, NADHANI TAREHE 29 OKT 2025 ulijionea mwenyewe
-ulijionea mlivyokula misumari hadi akili zikawakaa vzr na hamna la kufanya nyumbu nyie
Who's responsible for your thoughts then.i amnot responsible for any thoughts that comes out of your mind