Asanteni GenZ kwa kutunyamazishia kiredio cha mchina tulikuwa hatulali

Hakuna kazi ngumu kama ya uchawa hapa dunia kusifia mambo ya kijinga
Ni kazi ngumu cha ajabu haya machawa mapimbi ya kijani yanafanya kwa buku7 tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…