Asanteni Halotel sasa kama mwanzo

Asanteni Halotel sasa kama mwanzo

IBRA wa PILI

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2017
Posts
1,503
Reaction score
2,426
Mambo murua halotel vifurushi vimerejea mahali pake nilitseka sana siku chache hizi yani movie nilishndwa kabisa kuzipakua sasa swaaaaaaaafi apo kwenye usiku pack ndio mahali pangu zaidi Leo ni kushusha movie adi kieleweke
IMG_20210415_191711.jpg
Screenshot_20210415-191559.jpg
 
wamerudisha kifurushi cha usiku ila network yao saivi ni mbovu kupita maelezo bora tu usijisumbue kununua utaingia hasara
 
Haloteli internet ya usku GB 5=1500, TTCL GB 10=1500 RUDI NYUMBANI KUMENOGA
Ttcl nilpo network 0 mwendo wa kobe ila halotel fresh kabisa alaf juz kati nilichek menu ya ttcl usiku pack sikuona au nao wameludsha saiz
 
4G imerudi? Safi sana. GB 7 kwa Elfu 5 ni bonge la deal.
 
Lakn mbona sion kifurushi toka halotel kinaitwa tanzanite 20k per month GB50
 
Back
Top Bottom