Ila hii Nchi Ni ya hovyo Sana shida yetu ilikua Ni bei ya vifurushi ipungue badala yake wamepandisha,sasa badala ya kurudi kwenye hoja yetu ya kupunguziwa bei sasa hivi tunomba virudi kama mwanzo inamaana mitandao ya simu ina nguvu zaidi ya serikali yetu?