IBRA wa PILI
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 1,503
- 2,426
Bado hawajavirudisha bwanaDaah wamefanya jambo la msingi sana kurudisha usiku pack
Hivi nimeviona...issue ni network tu. Hivi 4g ya halotel iko poa?Mambo murua halotel vifurushi vimerejea mahali pake nilitseka sana siku chache hizi yani movie nilishndwa kabisa kuzipakua sasa swaaaaaaaafi apo kwenye usiku pack ndio mahali pangu zaidi Leo ni kushusha movie adi kielewekeView attachment 1752981View attachment 1752979
Ttcl nilpo network 0 mwendo wa kobe ila halotel fresh kabisa alaf juz kati nilichek menu ya ttcl usiku pack sikuona au nao wameludsha saizHaloteli internet ya usku GB 5=1500, TTCL GB 10=1500 RUDI NYUMBANI KUMENOGA
Voda wabish aisee menu yao aibadilik awa jamaaVoda wameigoma kabisa dadeki
Sana nilipata mateso sana kuondoa hii duDaah wamefanya jambo la msingi sana kurudisha usiku pack
Wenye kiburi ni VodacomMambo murua halotel vifurushi vimerejea mahali pake nilitseka sana siku chache hizi yani movie nilishndwa kabisa kuzipakua sasa swaaaaaaaafi apo kwenye usiku pack ndio mahali pangu zaidi Leo ni kushusha movie adi kielewekeView attachment 1752981View attachment 1752979
Kuna mkono wa mtu sio bure haiwezekani kampuni ipuuze agizo la serikali kirahisi namna hiyo.Voda wabish aisee menu yao aibadilik awa jamaa
@vodacom wamemdindishia Mama Samia
voda kwa vifurushi achana nao wale hata wasemweje hawabadili hata kabla ya hivi vipya kabla yake walikuwa na mabei yao ya ajabuVoda wabish aisee menu yao aibadilik awa jamaa
Halotel?4G imerudi? Safi sana. GB 7 kwa Elfu 5 ni bonge la deal.
Halotel wako ovyo kwenye internet (very slow indeed).Ttcl nilpo network 0 mwendo wa kobe ila halotel fresh kabisa alaf juz kati nilichek menu ya ttcl usiku pack sikuona au nao wameludsha saiz