Asanteni Halotel sasa kama mwanzo

Usiku pack wamebania wangeweka gb 10
 
Voda nao wamerudisha at least tutaweza kufurahia internet
 
Halotel niliyokuwa naielewa ilikuwa ni ile ya unlimited
 
Wenye kiburi ni Vodacom
Ukiona hivyo Kuna mhusika wamemuweka mfukoni kwani kala Hela yao.
Ukihongwa lazima uwe mpole, mfano mzuri Ni Malaya, akihongwa anatoa mpaka sehemu zake za Siri hata Kama hampendi aliyemgonga.
Hela waliohonga Ni ndefu. Lazima wairudishe kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…