Ina nguvu sana, unadhani Tz tuna serikali? Ni kundi la walaji wa keki ya taifaIla hii Nchi Ni ya hovyo Sana shida yetu ilikua Ni bei ya vifurushi ipungue badala yake wamepandisha,sasa badala ya kurudi kwenye hoja yetu ya kupunguziwa bei sasa hivi tunomba virudi kama mwanzo inamaana mitandao ya simu ina nguvu zaidi ya serikali yetu?
Wameamua kuwa mabeberuVoda wabish aisee menu yao aibadilik awa jamaa
itakua kweli mkuuUkiona hivyo Kuna mhusika wamemuweka mfukoni kwani kala Hela yao.
Ukihongwa lazima uwe mpole, mfano mzuri Ni Malaya, akihongwa anatoa mpaka sehemu zake za Siri hata Kama hampendi aliyemgonga.
Hela waliohonga Ni ndefu. Lazima wairudishe kwanza.