Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Ziara ya Kikazi ya Rais Samia Mkoani Tanga Februari 23, 2025
Kujenga wodi ya wagonjwa wa mifupa katika Hospitali ya Wilaya ya Handeni
Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza kutengwa kiasi cha shilingi milioni 240 kwa ajili ya kujenga wodi ya wagonjwa wa mifupa katika Hospitali ya Wilaya ya Handeni na kuifanya hospitali hiyo kuwa maalum kwa kushughulika na mifupa.
"Hospitali ile tumeona maendeleo yake, tumeona ilivyokamilika, lakini kwa sababu hospitali ile iko barabarani na tukiweka lami kipande cha barabara kwenda hospitali patakuwa karibu mno, kwahiyo, tumeamua kujenga eneo la kutibu, kupasua mifupa na kwa maana hiyo nimemuelekeza waziri wa TAMISEMI alete hapa fedha milioni mia mbili ili kujenga eneo la mifupa likamilike"
- Akiwa kwenye ziara hiyo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan alifanya ufunguzi wa Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Handeni, iliyopo Mkata, mkoani Tanga, tarehe 23 Februari 2025.