Asanteni kwa mafunzo yenu.

Albina

Member
Joined
Feb 7, 2012
Posts
60
Reaction score
21
Habari zenu.
Jamaa yangu hapa amekua akinishawishi sana kujiunga nanyi lakini sikua nakaa sana humu nikiingia.
Lakini toka mwishoni mwa mwaka jana nimekua nikifuatilia topic zenu humu zime nijenga sana
na zimeimarisha sana mahusiano yangu.

Last week nilivo shauriwa kujiunga niliahidi kufanya hivyo,naona kama nime chelewa
sana kujiunga.

Shukrani zangu za dhati sana kwa michango ya kujenga ziende
kwa Lizzy,AshaDii,mwanakijiji...........ohhh wengine majina yamenitoka
ila kazi mnayo ifanya ni kubwa sana.
M'balikiwe sana.
 
karibu......
but wewe ni mpya kweli au id nyingine hii??????
 
kumbe albina weye mzungu.Nifurahi JF hakuna ubaguzi
 
Ohh thanks Alby(I hope you don't mind me calling you that). . . . KARIBU sana na wewe utupe maujuzi yako tubadilishane.
 
Me sio mzungu plato ila nilitaka kuweka picha nikaambiwa
hatuweki picha halisi humu
 
Karibu hadi ndani. Unapoigia nawewe uchangie ili tunufaike.
 
Wow,asante kwa nick name nzuri lizzy,i never thought of it kabla ndo lingekua jina la JF instead haha.
Tuko pamoja
 
Ohh thanks Alby(I hope you don't mind me calling you that). . . . KARIBU sana na wewe utupe maujuzi yako tubadilishane.

Halafu Lizzy weye kila napoenda upo..kitambo kidogo ulikuwwa kwa mangi muda huu tena upo hapa,au ni ka positive coincidence?
 
Me sio mzungu plato ila nilitaka kuweka picha nikaambiwa
hatuweki picha halisi humu

Mbona wako wengi na picha halisi kama Slaa,marehemu Regia,Mnyika,Nape n.k.nani kakwambia
 
Wow,asante kwa nick name nzuri lizzy,i never thought of it kabla ndo lingekua jina la JF instead haha.
Tuko pamoja
Hahahaha.. . . .Karibu mwaya. . .
Siku ukipenda kubadili unamjulisha tu mmoja wa moderators wanakubadilishia. . .
 
Halafu Lizzy weye kila napoenda upo..kitambo kidogo ulikuwwa kwa mangi muda huu tena upo hapa,au ni ka positive coincidence?

Mi niko kila mahali Plato. . .kama wewe tu ulivyokuwepo kule na huku upo.
 
Mi niko kila mahali Plato. . .kama wewe tu ulivyokuwepo kule na huku upo.

Kwa hiyo unataka kusema nikitoka hapa kwenda kutafuta kitimoto nawe utakuwepo....una masihara aisee
 
Moderators wanachangia swala la watu kuwa na multi ID, Nataka kufunguwa za kwangu 5 na nitakuwa na IP 7.

Weeee. . . usikute wale watu wanne waliokazana kunitongoza wanakuhusu. . .?!
 
Weeee. . . usikute wale watu wanne waliokazana kunitongoza wanakuhusu. . .?!
Jamani! mimi na wewe ni 14 Februaly ni kwa nini niangaike na Pm! Hao wakwale wanaokusumbuwa wataishia kula kwa macho tu.
By the way umenifundisha kitu katika zile ID 5 moja itakuwa ya kike ili kuwachukulia vocha wanaume na Internet bundle, maana ID hio nitaweka Avator ambayo si ya kawaida na wakwale wote watajuwa ndio mimi.
 
Hhhhm ngoja niwaambie wanipigie simu ndio ntajua kwa uhakika.

Hahahahahah. . . na wakware utawapata sio kidogo. Hata ukitaka nauli ya ndege wenye nazo watatuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…