Asanteni kwa mafunzo yenu.

Asanteni kwa mafunzo yenu.

Karibu hadi ndani. Unapoigia nawewe uchangie ili tunufaike.

Na wala usivue viatu mlangoni, wewe ingia tu pasipo hofu, tahadhari ni kuwa sio kila thread lazima uchangie, zingine unasoma then unasepa.

Hautofungiwa kwa kutochangia, habari yeyote utakayoleta uwe na source na pia ufanye uhakiki wa habari hiyo kabla hujatuma.

Mwisho zingatia namna ya uandishi, sio lugha ya matusi na maelezo yaeleweke na pia usibananishe sana.

Miandiko ya kidaktari inabore lakini pia hata kidhungu kina ruhusiwa isipokua usiandike unachofikiri ila unachosema

''The difficult of liturature is not to write but to write what you mean''

Karibu!
 
Hahahaha.. . . .Karibu mwaya. . .
Siku ukipenda kubadili unamjulisha tu mmoja wa moderators wanakubadilishia. . .

Aisee,ni kazi kweli kuutumia huu mtandao ila nashukuru napata msaada hapa.
Asante sana Lizzy.
 
Na wala usivue viatu mlangoni, wewe ingia tu pasipo hofu, tahadhari ni kuwa sio kila thread lazima uchangie, zingine unasoma then unasepa.

Hautofungiwa kwa kutochangia, habari yeyote utakayoleta uwe na source na pia ufanye uhakiki wa habari hiyo kabla hujatuma.

Mwisho zingatia namna ya uandishi, sio lugha ya matusi na maelezo yaeleweke na pia usibananishe sana.

Miandiko ya kidaktari inabore lakini pia hata kidhungu kina ruhusiwa isipokua usiandike unachofikiri ila unachosema

''The difficult of liturature is not to write but to write what you mean''

Karibu!

Athantee thana thide Ally.
nita jitahidi sana,ni mvivu kuandika ila sio kuongea.
 
Namsubiri Rev Fr Masanilo aje hapa na utaalam wake!
 
asante, tena ujue mie ndo hedimasta wao.
Hizo notisi huwa nawapa mie.
 
kwanza kajisomee hii
what is magazijuto?

Hii topik ni ngumu sana
hasa kwenye sosho life
na ukiielewa hii
hausumbuki kabisa
Wow.
Asante sana ticha.Nifundishe na mimi basi.
 
kwanza kajisomee hii
what is magazijuto?

Hii topik ni ngumu sana
hasa kwenye sosho life
na ukiielewa hii
hausumbuki kabisa

Mmmh,hesabu tena.sipo kabisa huko labda kuhesabu hela tu.
 
karibu sana usiishie kusoma kwani naamini unahitajika mchango wako kimawazo
 
Back
Top Bottom