BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
mie mbona hujanitaja?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu hadi ndani. Unapoigia nawewe uchangie ili tunufaike.
Na wala usivue viatu mlangoni, wewe ingia tu pasipo hofu, tahadhari ni kuwa sio kila thread lazima uchangie, zingine unasoma then unasepa.
Hautofungiwa kwa kutochangia, habari yeyote utakayoleta uwe na source na pia ufanye uhakiki wa habari hiyo kabla hujatuma.
Mwisho zingatia namna ya uandishi, sio lugha ya matusi na maelezo yaeleweke na pia usibananishe sana.
Miandiko ya kidaktari inabore lakini pia hata kidhungu kina ruhusiwa isipokua usiandike unachofikiri ila unachosema
''The difficult of liturature is not to write but to write what you mean''
Karibu!
karibu......
but wewe ni mpya kweli au id nyingine hii??????
Wow.
Asante sana ticha.Nifundishe na mimi basi.
Hahahaha.. . . .Karibu mwaya. . .
Siku ukipenda kubadili unamjulisha tu mmoja wa moderators wanakubadilishia. . .
Duuuu???Jimama tena..its not sexy!!!rudisha la zamani
Kumbe hadi wachungaji wamo humu?